Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Mpendwa wetu ina maanisha alikuwa anajua ana maambukizi ila alichangamana na watu bungeni si salama.Inadaiwa pia kuwa ndani ya hoteli aliyokuwa akiishi kumepatikana vifaa vya kujifukiza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpendwa wetu ina maanisha alikuwa anajua ana maambukizi ila alichangamana na watu bungeni si salama.Inadaiwa pia kuwa ndani ya hoteli aliyokuwa akiishi kumepatikana vifaa vya kujifukiza.
Hili la pili ni la WAKUBWA tu!Hivi tuna majanga mawili kwa wakati mmoja?
1.Corona?
2.Kushindwa kupumua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani wa kutoa taarifa hiyo? Kama mpaka sasa hivi kwenye hii ishu ya Corona unafikiri kuwa una serekali basi wewe ni fala!Mtasema Corona wakati taarifa haijatolewa
tumewekeza kwenye ndege mkuuVifaa vya kujifukizia! Hakuna ushahidi wa kisayansi unaoonyesha kuwa kujifukizia kunatibu Corona. Taifa lisipowekeza kwenye tafiti, sayansi na technologia haliwezi kuwa hai.
KAHAMA CHAMAhajafariki, atakuwa amebadilisha maisha anayoishi tu kama ni kweli
Yenge ya ponda soni gete ng'wana omayoNsoji ga nva humlaga shi nkoi
Mpendwa wetu ina maanisha alikuwa anajua ana maambukizi ila alichangamana na watu bungeni si salama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee!! Ndugai hachomoki hapa..
[emoji28][emoji28][emoji28]Nakumbuka wakati corona inaingia Tanzania polepole alisema corona ni hatari kama walivyo wapinzani, kumbe alikuwa anajua hatari iliyo mbele yao na labda alijua imekuja kuwachukua
Ila wewe jamaa umenichekesha mno 😁😁😁😁Aisee!! Ndugai hachomoki hapa..
Bukoba huko kwa kujifukiza na yeye
A
Akitoka akatambike.
| Huko Bungeni | Hali ni mbaya | Sana | Yaani bunge lijalo litakuwa na wabunge wapya wote hawa wote tumesha wapoteza yaani |
watasema alianguka ghafla kwa presha akiwa katika majukumu yake ya kibungeBasi na hii watafichaficha hao.. Hebu tuone show itakuwaje