Wasukuma tuna tia aibu sana nahisi ndo kanda inayoongoza kwa kua na wabunge wengi waarabu,wahindi sijui why hatuwaamini watoto wetu
Poleni Sana,hivi ndo mmiliki wa Ndasa Resort?Ndassa ana undugu na mamangu basi kule kwa bibi akienda ilikua zinaangushwa mbuzi na bia za kutosha vibaya sana .dah rip !leo ni vilio tu
Sababu hawakutaka kuweka zuio mapema la waliowaita watalii kuitembelea tz kwa vigezo vya uchumi kuporomoka
Umri wake upoje, na hali yake ki afya unaijua, au ndio huo umbea wa kike unaofanywa na mwanaumeNchi hii lipo tatizo kubwa sana la akili hasa katika nyanja ya uongozi, unaogopa ugonjwa au kuonea aibu ugonjwa
Mimi nilifikiri wewe ni Mkenya au Mh. Mbunge naye anaundugu na wakenya!!Ndassa ana undugu na mamangu basi kule kwa bibi akienda ilikua zinaangushwa mbuzi na bia za kutosha vibaya sana .dah rip !leo ni vilio tu
HapanaPoleni Sana,hivi ndo mmiliki wa Ndasa Resort?
Mbona corona ipo dunia nzima sasa kwa hiyo kote huko hawakuweka zuio la watalii?Sababu hawakutaka kuweka zuio mapema la waliowaita watalii kuitembelea tz kwa vigezo vya uchumi kuporomoka
Sent using Jamii Forums mobile app
So why should u locked down yourself, mbona ukifika muda wa kurudi nyumbani huwa unarudi mwenyewe bila mama yako au Mume wako au serikali kukwambia.Hivi mpaka afe nani ndio serikali itasikia?
Coved-19 haina mshindani
Lockdown tujikinge
Samia/Majaliwa fanyeni la kumpendeza Mungu si mwanadamu
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa Asema Bwana
hahhahahahahrhrhr
Kufa hotel mara nyingi kunahusishwa na matumizi ya MUNDENDE.
Hii pandemic inadhibitiwa na wataalamu wa Afya hili la serikali kuwatuma Waganga wa jadi ni kuwapelekea jangaAsa itakuaje🤔
Rudi shule ukajifunze kizungu ndio uje uandike upupu wako hapaSo why should u locked down yourself, mbona ukifika muda wa kurudi nyumbani huwa unarudi mwenyewe bila mama yako au Mume wako au serikali kukwambia.
Naona wewe unaangamia kwa kushindwa kutumia maarifa ya kuji lock down
Kweli hata mimi imekuwa tiba yangu kwa miaka mingi kwa ajili ya malaria na homa zinazonipata: Ni mchanganyiko wa Majani ya mpera,Mkwaju na majani ya mwembe hata Mchunga hutumika pia.Kujifukiza inatumika siku nyingi tu hata ukiwa na malaria unajifukiza kwa kuchanganya na mwarobaini. Hata SAUNA watu wanaenda kujifukiza pia naona wewe umejua juzi kujifukiza.
Mi nashauri balozi wetu huko Antananarivo,madagaska anunue japo caton moja ya ile corona tonic ailete ijaribiwe pale amanaHii pandemic inadhibitiwa na wataalamu wa Afya hili la serikali kuwatuma Waganga wa jadi ni kuwapelekea janga
Umri kamanda! Kuna la kujifunza hapo
Mwanaccm mmoja akipungua
Kwani nimekuambia hiyo ni Corona?Yaani umesha confirm hiyo ni corona?