TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Hivi mpaka afe nani ndio serikali itasikia? Coved-19 haina mshindani
Lockdown tujikinge.

Samia/Majaliwa fanyeni la kumpendeza Mungu si mwanadamu. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa Asema Bwana
 
Ndassa ana undugu na mamangu basi kule kwa bibi akienda ilikua zinaangushwa mbuzi na bia za kutosha vibaya sana .dah rip !leo ni vilio tu
Mimi nilifikiri wewe ni Mkenya au Mh. Mbunge naye anaundugu na wakenya!!
 
Hivi mpaka afe nani ndio serikali itasikia?
Coved-19 haina mshindani
Lockdown tujikinge
Samia/Majaliwa fanyeni la kumpendeza Mungu si mwanadamu
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa Asema Bwana
So why should u locked down yourself, mbona ukifika muda wa kurudi nyumbani huwa unarudi mwenyewe bila mama yako au Mume wako au serikali kukwambia.
Naona wewe unaangamia kwa kushindwa kutumia maarifa ya kuji lock down
 
JPM amewageuza wenzake VITUKO, mbunge anajisikia kuumwa anakimbilia vitu vya kujifukiza badala ya kuwahi hospital.

Hatusemi hospital huwezi kufa ila tujitahidi tudeal na hii hali kisayansi. Hao mnaowaita mabeberu mkumbuke ndo walio tufundisha kuvaa nguo hivyo kijitutumua kwamba hatuwezi kufuata kila kitu chao ni kujidanganya.
 
Asa itakuaje🤔
Hii pandemic inadhibitiwa na wataalamu wa Afya hili la serikali kuwatuma Waganga wa jadi ni kuwapelekea janga
[/QUOTE]
Mi nashauri balozi wetu huko Antananarivo,madagaska anunue japo caton moja ya ile corona tonic ailete ijaribiwe pale amana
 
So why should u locked down yourself, mbona ukifika muda wa kurudi nyumbani huwa unarudi mwenyewe bila mama yako au Mume wako au serikali kukwambia.
Naona wewe unaangamia kwa kushindwa kutumia maarifa ya kuji lock down
Rudi shule ukajifunze kizungu ndio uje uandike upupu wako hapa
Ndio nini eti why should you locked down....? Idiot
 
Kujifukiza inatumika siku nyingi tu hata ukiwa na malaria unajifukiza kwa kuchanganya na mwarobaini. Hata SAUNA watu wanaenda kujifukiza pia naona wewe umejua juzi kujifukiza.
Kweli hata mimi imekuwa tiba yangu kwa miaka mingi kwa ajili ya malaria na homa zinazonipata: Ni mchanganyiko wa Majani ya mpera,Mkwaju na majani ya mwembe hata Mchunga hutumika pia.

Shida inakuja hiki kipindi suala la kujifukiza limebeba taswira mpya kiasi cha kwamba tutashindwa kung'amua dhamira halisi ya yule ajifukizaye !!

Je ni kwa ajili ya magonjwa mengine ama ni kwa lengo la kuondoa virusi vya covid 19!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii pandemic inadhibitiwa na wataalamu wa Afya hili la serikali kuwatuma Waganga wa jadi ni kuwapelekea janga
Mi nashauri balozi wetu huko Antananarivo,madagaska anunue japo caton moja ya ile corona tonic ailete ijaribiwe pale amana
[/QUOTE]
Itapelekwa Chato ili mzee akipata maambukizi awe na dawa kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom