totolito
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 708
- 431
Wasukuma tuna tia aibu sana nahisi ndo kanda inayoongoza kwa kua na wabunge wengi waarabu,wahindi sijui why hatuwaamini watoto wetu
Huu sio mda sahihi wa swala hilo now ni Corona Corona full stop tukimaliza hili tutaongea na uongozi uanze kuwaamini hao vijana wa panda hizo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app