Si mlidharau mwanzo.Mpaka sasa hakuna 100% proof ya wapi utampata Corona na wapi humpati, ndiyo maana self hygiene inahimizwa sana.
Kupimwa wabunge wote ni muhimu sana.
Wapinzani wameshauri sana wabunge wote wapimwe lakini wamepuzwaa!Mpaka sasa hakuna 100% proof ya wapi utampata Corona na wapi humpati, ndiyo maana self hygiene inahimizwa sana.
Kupimwa wabunge wote ni muhimu sana.
Hakuna aliyedharau. Achana na kauli za kijinga kama vile Corona ni kwa ajili ya watu fulani tu. Ongea vizuri wala usifikiri kuwa huu ugonjwa unachaguwa chama.Si mlidharau mwanzo.
Yani maccm sijui mmelaaniwa!!!
Kwani wabunge wa upinzani hawakupendekeza hilo tangu mwanzo?Hakuna aliyedharau. Achana na kauli za kijinga kama vile Corona ni kwa ajili ya watu fulani tu. Ongea vizuri wala usifikiri kuwa huu ugonjwa unachaguwa chama.
Watu tunachopinga ni wabunge wote kuwekwa quarantine. Mimi naona wapimwe wote kwa kuwa nature ya kazi za wabunge ni kujichanganya na watu wengi mara kwa mara, kusafiri mara Kwa mara na kukusanyika pamoja pale bungeni Kwa muda mrefu.
Wapimwe, ataekutikana positive, ajiweke kwenye self isolation yeye mwenyewe kama alivyofanya Mbowe.
Kupendekeza nini?Kwani wabunge wa upinzani hawakupendekeza hilo tangu mwanzo?
Ebooo!!
wote walikuwa wakijifukiza
umekubali sasa kudadeki !Mpaka sasa hakuna 100% proof ya wapi utampata Corona na wapi humpati, ndiyo maana self hygiene inahimizwa sana.
Kupimwa wabunge wote ni muhimu sana.
HUYU ATAKUWA KASHIBA FHTARI YA MAGIMBIJaffo anasema wiki ya Nyungu [emoji848][emoji848]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Haya maelezo ya watu kusubiri majibu kwa style hio naona yamekuwa mengi sasa mitandaoni.Jamani walishindwa hata kumpa paracetamol za kutuliza homa?
Vifo vinatokea kizembe hata vipimo vikionyesha kuwa ni corona kwani ina dawa?Haya maelezo ya watu kusubiri majibu kwa style hio naona yamekuwa mengi sasa mitandaoni.
Bwana nyungu ni mtaalamu wa nguvu za gizaMungu atunusuru......
Nasikitika wengine wanaelekea kwenye nyungu za mawe