Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Si mlidharau mwanzo.Mpaka sasa hakuna 100% proof ya wapi utampata Corona na wapi humpati, ndiyo maana self hygiene inahimizwa sana.
Kupimwa wabunge wote ni muhimu sana.
Yani maccm sijui mmelaaniwa!!!