TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Si mlidharau mwanzo.
Yani maccm sijui mmelaaniwa!!!
Hakuna aliyedharau. Achana na kauli za kijinga kama vile Corona ni kwa ajili ya watu fulani tu. Ongea vizuri wala usifikiri kuwa huu ugonjwa unachaguwa chama.

Watu tunachopinga ni wabunge wote kuwekwa quarantine. Mimi naona wapimwe wote kwa kuwa nature ya kazi za wabunge ni kujichanganya na watu wengi mara kwa mara, kusafiri mara kwa mara na kukusanyika pamoja pale bungeni kwa muda mrefu.

Wapimwe, ataekutikana positive, ajiweke kwenye self isolation yeye mwenyewe kama alivyofanya Mbowe.

Nani aliyepinga au kudharau hilo? Mwisho wa wiki, kupimwa mtu ni mpaka atake mwenyewe,hakuna sheria ya kila mtu kupimwa kwa lazima. Labda itungwe sheria ya dharura au itolewe decree.
 
Hakuna aliyedharau. Achana na kauli za kijinga kama vile Corona ni kwa ajili ya watu fulani tu. Ongea vizuri wala usifikiri kuwa huu ugonjwa unachaguwa chama.

Watu tunachopinga ni wabunge wote kuwekwa quarantine. Mimi naona wapimwe wote kwa kuwa nature ya kazi za wabunge ni kujichanganya na watu wengi mara kwa mara, kusafiri mara Kwa mara na kukusanyika pamoja pale bungeni Kwa muda mrefu.

Wapimwe, ataekutikana positive, ajiweke kwenye self isolation yeye mwenyewe kama alivyofanya Mbowe.
Kwani wabunge wa upinzani hawakupendekeza hilo tangu mwanzo?
Ebooo!!
 
Ni kupitia mtandao wa twitter ambapo ametoa maelezo haya hapa chini

Kwa hiyo, nini kilitokea kwenye saa 24 za mwisho duniani za Richard Mganga Ndassa? Naomba nieleze kidogo kwa mujibu wa maelezo ya watu wake wa karibu.

1. Jana hakuwa anajisikia vema.

2. Akajikaza kwenda bungeni. Alipopimwa joto, alikutwa na homa kali. Akashauriwa Aende hospitalini na asiingie bungeni. Hii ni protocol ya kawaida bungeni kwa sasa.

3. Akaenda Hospitali ya Mkoa wa Dodoma. Akafanyiwa vipimo. Akasubiri majibu lakini yakachelewa sana. Kuna vipimo majibu yake si ya haraka. Akarudi hotelini kwake kupumzika.

4. Majibu yalipokuwa tayari leo asubuhi, ndiyo akaanza kutafutwa bila simu zake kujibiwa. Ndiyo ikaamuliwa afuatwe kupewa majibu.

5. Hodi chumbani kwake hazikujibiwa. Kwa msaada wa wahudumu wa hoteli na mbele ya ushahidi wa Mhe Victor Mwambalaswa, mlango ukafunguliwa.

6. Ndipo Mhe Ndassa akakutwa tayari amefariki dunia. Kwa ufupi, hicho ndicho kilichotoke
 
From home to Dom, hotel, bungeni, hospital, back to his room( hotel);
[emoji24]Wife
[emoji24]Children
[emoji24]Dada wa kazi.
[emoji24]Driver
[emoji24]Mapokezi
[emoji24]Room service
[emoji24]Friend/bungeni
[emoji24]Nurse
[emoji24]Mtu wa maabara aliyechukuwa vipimo

Then mlevi mmoja anasema tukifukize? Miti mbona yataisha?
Kwanini bunge lisikutane online? Lazima waingie mjengoni?
Salary Slip,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom