Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,880
- 2,110
IVYO IVYOKigogo2014 anasemaje kule twita?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IVYO IVYOKigogo2014 anasemaje kule twita?
Watu wazito huwa hawawezi kukimbia.
Kwimba mbunge wetu ni mansoor wa MOILMbunge RICHARD NDASA , Mbunge wa KWIMBA CCM amefariki DODOMA HOTEL leo
Na wewe!! Kwani kuna kifo cha nani kimefichwa?Basi na hii watafichaficha hao.. Hebu tuone show itakuwaje
Sio wazito ni tunaowajua
Inatusaidia kuwaondoa madarakani
Soon hata watetezi wa haki za "wauaji" mtasema ukweli.Kama hii habari ni kweli na kama ni Ndassa.......dah!!!
Ndassa aliwahi kuongelea hatari ya Corona bungeni!
Kawa mbunge toka 90 au 95 kama sikosei,rip mbungeMbunge wa Sumve Richard Mganga Ndasa amefariki dunia leo asubuhi jijini dodoma!! Taarifa kamili,itakujaView attachment 1434380
Sent using, Mashikoro Mageni
Kama ni kweli rip mwanamichezo Ndassa!Mbunge wa Sumve Richard Mganga Ndasa amefariki dunia leo asubuhi jijini dodoma!! Taarifa kamili,itakujaView attachment 1434380
Sent using, Mashikoro Mageni