TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Ile kesi yake ya kuomba rushwa akiwa pamoja na Mbunge Murad na Kangi ilishaisha? Au Magufuli aliamua kumsamehe home boy wake?

Kama ni kweli awekwe alipojiandalia

MBUNGE WA SUMVE, RICHARD NDASSA NAYE AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO KWA TUHUMA ZA RUSHWA

Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa amepandishwa kizimbani mahakama ya Kisutu leo akituhumiwa kuomba rushwa ya Shilingi milioni 30 akiwa kwenye Kamati za Bunge.

Ndasaa anakuwa mbunge wa nne wa CCM kupandishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa baada Mbunge wa Mwibala, Mh.Kangi Lugola,Mbunge wa Mvomero Mh.Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa jimbo la Lupa Mh.Victor Mwambalaswa kupandishwa mahakamani jana kwa tuhuma za kuomba rushwa ya milioni 30 toka kwa mkurugenzi wa Gairo ili taarifa yake ipitishwe bila kujadiliwa

MBUNGE WA SUMVE, RICHARD NDASSA NAYE AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO KWA TUHUMA ZA RUSHWA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom