TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
HUYU ATAKUWA KASHIBA FHTARI YA MAGIMBI

Hivi mtu akiwa na asthma akijifukiza si ndio kwaheri
Sasa nchi nzima anasema wajifukize hajui kuna wenye matatizo ya kupumua pia
Yaani kila mmoja ataongea lugha yake mwaka huu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
German rate yao imeshuka sana kuliko nchi zote za Ulaya. Wameweka Corona Taxis ambapo watu wako na full protective gear wanazunguka kila mtaa kuangalia hali za wagonjwa na kuwapa maelekezo na huduma
Sasa mbunge kuambiwa akapumzike bila kumfuatilia jamani ni haki kweli mpaka anakufa peke yake daa
Umauti umemkuta peke yake imagine na wao wako Bungeni hawajui virusi wangapi wamebakia huko
Poleni wafiwa

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Duh...!, RIP Mhe. Richard Mganga Ndasa!.
Japo siku ikifika, imefika, ila vifo vingine vya mahotelini, vinazuilika!.

Japo sio tabia nzuri na thanks God, wife hana hobby na jf, vinginevyo haya ninayoyasema yakifika kusiko, home kutakuwa hakulaliki.

Kwanini mtu ulale pekee yako?.
Mimi hata niwapo safarini, I can only sleep alone only if circumstances don't allow, lakini kila nikisafiri silali pekee yangu!. Hata kama sijapanga to do anything, nikilala lazima nijifunike na blangeti!.

Marehemu ni mshirika wangu hapo Dodoma Hotel, yeye, Mzee wa Vijisenti, Mzee Mapesa, na VC wa UDOM huwa tunakaa counter ya Dodoma hotel hadi mida mibovu, na siku zote kule kwenye makochi, mablanketi kibao ya kujifunikia ili usipigwe na baridi ya Dodoma, tena mtu unapojisikia vibaya ndio you seriously don't have to sleep alone for obvious reasons.

RIP Mshirika, na hii Corona, sisi over 50 wengi watakujoin, I don't know who next!.
P
 
Englishlady,
Mfano Hapo,unaona jamaa joto lilikuwa juu,na hii Ni dalili ya mwanzo baada ya mwili kuanza kureact na uvamizi wa virus, Kisha labda kutafuata mambo ya mafua,kikohozi.

Sasa huyu inaonekana imepita shortcut from high temperature to death within less than 48 hours
 
Haya maelezo ya watu kusubiri majibu kwa style hio naona yamekuwa mengi sasa mitandaoni.
Lakini mbona ni protocol za kawaida hata nchi za wenzetu , sio vipimo vyote una pata majibu hapo hapo.
Hata Hapo kituo cha magonjwa ya moyo muhimbili n.k.

Sema kuna dalili za ugonjwa fulani, hivyo wange muelekeza kunako takikana badala ya kumuacha arudi hotelini au ku confirm huo ugonjwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom