Duh...!, RIP Mhe. Richard Mganga Ndasa!.
Japo siku ikifika, imefika, ila vifo vingine vya mahotelini, vinazuilika!.
Japo sio tabia nzuri na thanks God, wife hana hobby na jf, vinginevyo haya ninayoyasema yakifika kusiko, home kutakuwa hakulaliki.
Kwanini mtu ulale pekee yako?.
Mimi hata niwapo safarini, I can only sleep alone only if circumstances don't allow, lakini kila nikisafiri silali pekee yangu!. Hata kama sijapanga to do anything, nikilala lazima nijifunike na blangeti!.
Marehemu ni mshirika wangu hapo Dodoma Hotel, yeye, Mzee wa Vijisenti, Mzee Mapesa, na VC wa UDOM huwa tunakaa counter ya Dodoma hotel hadi mida mibovu, na siku zote kule kwenye makochi, mablanketi kibao ya kujifunikia ili usipigwe na baridi ya Dodoma, tena mtu unapojisikia vibaya ndio you seriously don't have to sleep alone for obvious reasons.
RIP Mshirika, na hii Corona, sisi over 50 wengi watakujoin, I don't know who next!.
P