Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea atangaza kujiuzulu Ubunge na uanachama wa CUF

Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea atangaza kujiuzulu Ubunge na uanachama wa CUF

Ukisikiliza Ana Hoja Dhaifu Sana Kwenye Uondokaji Wake
Bora Aende Siyo Style Hovyo Eti Sijui Katumia Kanuni Gani Ya Bunge Pale
 
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abdallah Mtolea wa Chama cha CUF ametangaza rasmi kujivua uanachama wa chama hicho pamoja na kuachia nafasi yake ya Ubunge kuanzia hivi sasa.

Mtolea ametangaza uamuzi huo bungeni jijini Dodoma hii leo Novemba 15, 2018 ikiwa ndio tarehe ya mwisho iliyowekwa na CCM kwa viongozi wa vyama vingine wanaotaka kuhamia CCM na kupewa dhamana ya kutetea udiwani na ubunge wao kwa tiketi ya chama.

View attachment 935115
Abdallah Mtolea akitoka nje ya ukumbi wa Bunge baada ya kutangaza kujiuzulu Ubunge​
.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P
 
kwa hiyo ameamua kujiunga na wanaotunyima kutulipa mafao yetu ya kustaafu,kwa nini asingetutetea kwanza wastaafu tulipwe pesa zetu?
 
Kadhi kumbe kuna muda tena baada ya dk 6 zilizoongezwa, maana ilikua 10 kamili wakaongeza dk 6 au taratibu zimebadilika wameongeza zile 30 ziwe dk 120? Hahaha makambo mingi motema nangai.
Si unaona mwenendo wa sasa? Ni kutangazia mjengoni. pale wana kinga muda wa slowslow hautumiki mjengoni.
 
itabidi tuliostaafu tuandamane ili kulipwa mafao yetu maana hakuna mbunge anayetutetea,na wala hakuna anaeuliza swali bungeni tutalipwa lini
 
Kuna jamaa kasema IQ ya mtu mweusi ni ndogo sana!! Naafiki 100%.
 
Hahaha aiseee...kweli jamaa mbunge(mwanaume) wa dar (tmk)...hizo sababu zake angeenda kuwaambia wananchi wake waliompigia kura na sio blah blah nyingi...siasa za bongo bhana hahahahaaaaaaa woiii
 
Back
Top Bottom