Na mmiliki wa Mwanahalisi si ni huyo Komu akishirikiana na Kubenea?Aondoke komu halafu kubenea abakie [emoji44]
Kubenea ni ndumilakuwili
Nakumbukaga enzi za JK alivyopewa kichapo na wasiojukikana [emoji40]
Aendee tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje kama anaondoka? What if akazungumzia masuala ya jimboni kwake?Huyu lofa asituchoshe kama anaondoka aondoke Tu kuna haja gani ya kuita mashahidi
Hata Mbowe anaweza akachomoka Ila sio Mimi,maana mimi hawawezi kunipa hata buku ili nihamie kwao , kwahiyo nakomaa hukuhuku mpaka mwisho wa maisha yangu
CCM wakatubu wapi?Laana ya Dr Slaa ni Kali sana, Mbowe nenda ukalie na kutubu kwenye miguu ya Slaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia wewe na jamaa yako Mussa Allan mpo mbioni kumfuata Kubenea, alipo tupo
Haya, basi sawa.Mimi nina akili zangu timamu siyo bendera fuata upepo
In God we Trust
Anaenda ACT
Ccm haikuuza chama kwa lowasa
Huyu ataenda ACT, "takbiiiiriiii!NCCR Mageuzi
We amekuambia anahama? What if akizungumzia coronaBaadhi ya wanasiasa wa upinzani wa Tanzania, huwa wanaowanaje wapiga kura, mashabiki na wanachama wao?
Kama huyu, anaita mkutano kueleza nia yake ya kuhama chama badala ya kuimarisha ushiriki wake katika vikao vya bunge la bajeti! Inashangaza sana.