Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hawa wanasiasa waache utthenge na mikutano ambayo kichwa wala miguuMbunge wa Jimbo la Ubungo Mhe. Said Kubenea, kesho Alhamis Aprili 2, 2020 atazungumza na waandishi wa habari moja kwa moja kutoka ofisi za gazeti la MwanaHALISI Kinondoni, jijini Dar es salaam.
mafisiem wataanza kumlamba miguu na kumsafishaMakamanda wataanza kumtukana, kama kawaida yao.
nyie mbaki na mapinduzi na mageuzi CHADEMA wanakwenda na maendeleoCDM mnafeli wapi naona nyumba yenu ina nyufa kibao sana, navyoona mvunje tu chama wote mhamie NCCR mageuzi. Kumbe kweli majina huumba huku mapinduzi kule mageuzi
ajiunge na vicoba
Jiwe hata akiwekwa na kunguni kunguni anashindaUnazungumzia mnyika huyu aliyekuwa dhaifu jimboni haonekani anaishi kama digidigi jimboni
Wanakibamba wanahasira naye hata akiwekwa hata na mbwa .mbwa anashinda
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe unaishi kibamba,karibu haba msumi upate kitimoto maana naona njaa inakuuma sanaUnazungumzia mnyika huyu aliyekuwa dhaifu jimboni haonekani anaishi kama digidigi jimboni
Wanakibamba wanahasira naye hata akiwekwa hata na mbwa .mbwa anashinda
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitoka Libya kuhamia Ulaya kwa nia za panya kuna kisiwa cha kwanza unafikia kinaitwa LAMPADOSA!!!NCCR ni lampadosa kwa mheshimiwa,kama ni kweli!!CCM imewaambia kwamba waende kwanza NCCR kama kituo cha mda lakini lengo ni kwenda ccm au watafadhiliwa hukohuko nccr
Mweeeee mweeeee