Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Any way Ngoja tusubiri aweke sababu why kafanya Hivyo,nakumbuka huyu alihamia chadema akitokea CCM na akimlaimu makamba na Chimbi,tena alihama CCM katikati ya uchaguzi mdogo jimbo la Tarime.
 
siwi mnafiki lakini jamaa bungeni alikuwa sweetheart sana kwa ccm,michango yake ilikuwa bungeni ilikuwa friendly sana kwa serikali
Kwani unadhani upinzani ni kuwa against kwa kila.kitu?

Kama mpinzani hujawahi kuvuta bangi huwezi kufanya upinzani wa kina SUGU N.A. LEMA,

waige mfano wa waitara,.mnyika, Prof jay na wengine
 
Hongera sana Mwita umejitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…