TANZIA Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamukama afariki dunia

TANZIA Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamukama afariki dunia

Ugonjwa gan umempumzisha ?
Kuna mahali nimesoma kuwa kifo kimetokana na matatizo ya kujifungua. Ni ukweli usiopingika kuwa bado tuna idadi kubwa sana ya kina mama wanaofariki wakati wa ujauzito na kujifungua. Hizi takwimu hazijabadilika kwa mda mrefu japo ndio kipimo muhimu cha ubora wa afya katika nchi yoyote.
 
Nilichanganya sio upstairs ni operation alifanyiwa tumbi alikuwa njian akitoka dom kwenda dsm sasa walipofika maeneo ya kibaha bahati mbaya chupa ikapusuka na siku zikiwa bado so huduma ya kwanza ni hapo tumbi ndo wakamfanyia operation mtoto akatoka akapelekwa muhimbili kwenye oxygen na hadi sasa yupo huko mtoto wa kiume ....na yeye pia alifanikiwa kuamka baada ya CS lakini mida ya jana alfajir hali ikabadilika akafariki mida ya saa 6 mchana
Alikua week ya ngapi
 
Aisee Allah ampe kauli thabiti.

Binafsi huwa nikiona mjamzito huruma huniijia sana ukizingatia hali ya siku hizi vifo vipo jirani sana japo tunajifariji kuwa tumeendelea kwenye sekta hii.

Kwa sasa ukisikia mkeo/mpenzio nu mjamzito basi lazima uwe muangalifu kwa kila hatua, sisemi kwamba Mh. hakuwa na uangalifu ila nazungumzia jamii yetu kwa asilimia kubwa Mungu tuu ndio anayetusimamia.
Ila kwa kifo cha huyu mbunge nadhani safari ya kutoka Dodoma kwa gari imechangia lakini pia na mila na desturi nazo zimechangia maana kina mama wengi huwa tarehe ya kujifungua (umri wa mimba) huwa hawaweki wazi labda kwa watu wachache sana wa familia. Kilichotokea huyu mbunge alizuiwa uwanja wa ndege kusafiri kutokana na hali yake ya ujauzito hivyo wabunge wenzake wakatangulia na yeye akatumia gari kusafiri na uchungu ukamkuta akiwa safarini na ukiongeza na factor ya huduma zetu za kiafya kwenye mambo ya dharula hapo ni kasheshe tu. Kama angekuwa ameweka wazi kwa wanawake wenzake sidhani kama kuna mwanamke miongoni mwa wabunge wangemruhusu asafiri kutokana na hali yake.

Kwa nchi zetu hizi hata kama huduma za afya tia tia maji unapofikisha wiki chache kabla ya kujifungua unatakiwa ukae kwa kutulia na hata kama unapiga mishe mishe za hapa na pale basi ziwe within eneo lako la kujidai.
 
Kwanini asingeomba maternity leave tu

Ova
Uroho wa posho hakuna kingine

Kama kuna mwanamke una mimba huko bungeni acha uroho wa posho

kwanza hawahitaji hata kuomba maternity kuna idadi ya vikao ambavyo asipohudhuria ndio huachishwa ubunge
Angeweza hata kutoenda tu na hakuna mtu angemsumbua sababu angekosa tu posho za hiyo safari na posho za vikao yeye kabaki salama na mwanae

Pesa kwa wengine kitu kibaya sana
 
Uroho wa posho hakuna kingine

Kama kuna mwanamke una mimba huko bungeni acha uroho wa posho

kwanza hawahitaji hata kuomba maternity kuna idadi ya vikao ambavyo asipohudhuria ndio huachishwa ubunge
Angeweza hata kutoenda tu na hakuna mtu angemsumbua sababu angekuwa tu posho za hiyo safari na posho za vikao yeye kabaki salama na mwanae

Pesa kwa wengine kitu kibaya sana
Duh ukweli mtupu umesema

Uroho wa posho

Ova
 
Usiwe na wasiwasi... Anaweza akajifungua kawaida tu bila operation tena endapo sababu zilizopelekea kujifungua kwa operation mwanzo zilikuwa ni mtoto... Haikuwa kwa sababu ya maumbile ya mama...

Kama sababu ni mtoto... TAHADHARI JAMANI KWA WAJAWAZITO WOTE ESPECIALLY UJAUZITO WA KWANZA...

USIKURUPUKE KUMUWAHISHA MJAMZITO HOSPITALI PINDI TU UCHUNGU UKIANZA... MPAKA UJIHAKIKISHIE CHUPA IMEPASUKA... NA ANDAENI MAZINGIRA MAPEMA YA KUJIFUNGUA HATA AKIWA NJIANI ANAENDA HOSPITAL...

KOSA TUNALOLIFANYA WENGI... MKE ANAWAHI HOSPITAL UCHUNGU TU UNAPOANZA... UKIFIKA TU MOJA KWA MOJA THEATRE... HASA HOSPITAL ZA PRIVATE(Hapa maslah ya kipesa)... Hospital za serikali... Kama kuna wanafunzi ndio PRACTICAL SPECIMEN... AU UVIVU...

FACTOR NYINGINE... OPERATION ZIMEKUWA NYINGI HIVI SASA... ILI KUPUNGUZA RATE YA KUZALIANA(Uzazi wa mpango kwa lazima) ... COZ UZAZI WA OPERATION UNA LIMIT YA KUZAA...

USIMUWAHISHE MKEO HOSPITAL... LABDA ALIGUNDULIKA ANA KIFAFA CHA MIMBA AU PRESSURE YA MIMBA WAKATI WA CLINIC... KAMA ALIKUWA SALAMA TU... BASI WEWE MWACHE APAMBANE NA MAZOEZI MPAKA CHUPA IPASUKE NDIO MUENDE LABOUR...
Hiyo aya ya kwanza..hiyo trial siyo salama kwa mama na mtoto..wenda afanye hiyo trial kwenye facility kubwa ambayo wanaweza fanya emergency c/s likitokea la kutokea otherwise tutaongea mengine hapa.

Kweli private hospitals wako kifaida sana unapokuwa na mjamzito wakati wa kujifungua..

Mwaka jana...Kuna private moja walikuwa wanamlazimisha wife asaini form ya operation bila kumpatia sababu ya operation..kwanza wife ndiyo ulikuwa ujauzito wa kwanza, chupa ilikuwa haijapasuka,mtoto tumboni Yuko salama na mama Hana shida yoyote...aisee niliwaka nikawauliza wanipe sababu za operation?....
 
Duh ukweli mtupu umesema

Uroho wa posho

Ova
Marehemu uroho wa posho za safari na za kamati umeondoa uhai wake na mwanae.
Maisha ni zaidi ya pesa asikudanganye mtu

Mama Makinda kwa mfano ana mipesa mamilioni kila mwezi hajawahi olewa .Nadhani naye hakuwa na mpango sababu ya mipesa aliyokuwa anapata Hajuona umuhimu wa kuolewa wala hakuona mwanaume saizi yake wa kumuoa kwa nyodo za enzi hizo kuwa yeye matawi ya juu!! Haoni saizi yake!!

Ana mtoto mmoja tu aliezaa kipindi cha usichana wake kabla pesa haijaanza kumtiririkia .Sasa hivi ni mtu mzima hakuna mtu anamtaka.Mamilioni yake hata hayaoni ya maana sababu hata akihudumia watoto wa ndugu bado yanabaki mamilioni kibao!! Na mwanae ana maisha ya kueleweka wala hahitaji pesa za mama yake anaishi kizungu njebakila pesa za kigeni akila pesa za kigeni hahitaji hayo mamilioni yake ya kustaafu uspika mahela ya Tanzania hata yabadilishwe dola hahitaji

Angezaa watoto wengi na kuwa na mume hata mpiga debe mbona uso wake ungekuwa unang'aa sasa umefifia

Asante saluni anakoenda kwa Walau kumupodoa na vipodizi ingawa uso wake haukubali vipodozi hata mumupodoe vipi.
 
Ila kwa kifo cha huyu mbunge nadhani safari ya kutoka Dodoma kwa gari imechangia lakini pia na mila na desturi nazo zimechangia maana kina mama wengi huwa tarehe ya kujifungua (umri wa mimba) huwa hawaweki wazi labda kwa watu wachache sana wa familia. Kilichotokea huyu mbunge alizuiwa uwanja wa ndege kusafiri kutokana na hali yake ya ujauzito hivyo wabunge wenzake wakatangulia na yeye akatumia gari kusafiri na uchungu ukamkuta akiwa safarini na ukiongeza na factor ya huduma zetu za kiafya kwenye mambo ya dharula hapo ni kasheshe tu. Kama angekuwa ameweka wazi kwa wanawake wenzake sidhani kama kuna mwanamke miongoni mwa wabunge wangemruhusu asafiri kutokana na hali yake.

Kwa nchi zetu hizi hata kama huduma za afya tia tia maji unapofikisha wiki chache kabla ya kujifungua unatakiwa ukae kwa kutulia na hata kama unapiga mishe mishe za hapa na pale basi ziwe within eneo lako la kujidai.
Duuh Aisee
 
Daah huruma sana! Ila hizi hospital za serikali majanga. Mwaka jana mwezi wa 10 nilijifungua kwa operation temeke, kwakweli ni Mungu tu alinitoa salama. complication zilikua nyingi yaan nakumbuka dr(mdada) alokua ananifanyia operation alikua amewasha mziki(kwenye simu) thieta anacheza anatafuna bigi jii kifupi alikua anaona kama yuko na mdoli hakua serious kabisa.. yaani nlikua nasali sala zote mle ndani nitoke tu salama, ila uzembe ni mwingi mno kama hapo temeke kumeozaa.
 
Back
Top Bottom