TANZIA Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamukama afariki dunia

Poleni wanna ccm na familia ya ndyamukama na spika pia poleni San kwa kumpoteza mh
 
Poleni sana familia,ndugu na jamaa . Irene apate furaha ya milele, apumzike kwa amani
 
Mbunge wa viti Maalum (CCM) mkoa wa Rukwa Ndg. Irene Ndyamkama amefariki dunia leo tarehe 24 Aprili 2022 katika hospitali ya Tumbi mkoani Pwani alikokuwa akipatiwa matibabu.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Tulia Ackson ametangaza kifo hicho na kutuma salamu za pole kufuatia msiba huo.
“Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mheshimiwa Irene Alex Ndyamkama, Natoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, waheshimiwa wabunge na wananchi wa Mkoa wa Rukwa. Mwenyenzi Mungu awape moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki kigumu,” amesema Spika Tulia.

Mipango ya mazishi ya Ndg. Ndamkama inaratibiwa na Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia ya marehemu na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.

View attachment 2199028

View attachment 2199030
Kwani aliingia bungeni kiharali*
 
Alikuwa anajifungua
Pole kwa wafiwa

Huyo ni Mbunge wa kwanza kumsikia ni mja mzito akiwa mbunge toka nizaliwe

Nasikia wabunge wengi wanawake wa Tanzania wana nyodo sana huwa hawataki kubeba mimba wakiwa wabunge wanabeba posho tu za bunge

Wanakuwa na nyodo sana wakipata ubunge
 
Ulikuwa wapi wakati Angela Kairuki akiwa mbunge na waziri wakati wa JPM
 
Duh uzi una mambo mengi huu, mara alikua safarini mara upstairs, mara muhaya alipateje ubunge sumbawanga etc etc etc, kimsingi kama alikua anakaribia kujifungua alihangaikaje kutoka Dodoma kukimbilia Dar ama ndio yake mambo ya mwendazake kahamishia wenzie dodoma ila yeye akaenda kufia Dar. Kuna kitu hakiko sawa katika hili, mosi alitakiwa asisafiri kama alikua waleo ama wa kesho kujifungua, pili hao si ndio wana miposho ya kwenda hata kujifunghulia south Why Tumbi? au ndio duluma aldhuulumaaaat inaanza kufanya kazi.
 
Duh Maisha haya!! Alitumia nguvu nyingi hadi mtu jina la kihaya unawakilisha Sumbawanga!! Bado hajafaidi Matunda ya jitihada zake!! Na Mwenyezi amjalie pumziko jema!!
Jina lina uhusiano gani na uwakilishi wake? Kama ni Mkazi wa Rukwa tatizo lipo wapi? Nchi haina mipaka ya ukabila katika eneo la siasa na haki ya kuishi.
 
Uwakilishi bungeni ni sehemu ya kuempower wenyeji WA eneo Fulani, hivyo inapotokea mchaga, mhaya, msukuma anafanya uwakilishi WA eneo Fulani ambapo ni kabila tofauti inabidi kufikirisha kama dhumumi la uwakilishi umetimia!! Wenyeji Wanawezaona wameonewa wanaweza kutumia njia mbadala Kupata haki iliyoporwa
 
Mbunge wa viti Maalum (CCM) mkoa wa Rukwa Ndg. Irene Ndyamkama amefariki dunia leo tarehe 24 Aprili 2022 katika hospitali ya Tumbi mkoani Pwani alikokuwa akipatiwa matibabu.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Tulia Ackson ametangaza kifo hicho na kutuma salamu za pole kufuatia msiba huo.
“Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mheshimiwa Irene Alex Ndyamkama, Natoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, waheshimiwa wabunge na wananchi wa Mkoa wa Rukwa. Mwenyenzi Mungu awape moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki kigumu,” amesema Spika Tulia.

Mipango ya mazishi ya Ndg. Ndamkama inaratibiwa na Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia ya marehemu na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.

View attachment 2199028

Hakika sisi ni wake na kwake tutarudi, apumzike kwa amani.
 
Duh uzi una mambo mengi huu, mara alikua safarini mara upstairs, mara muhaya alipateje ubunge sumbawanga etc etc etc, kimsingi kama alikua anakaribia kujifungua alihangaikaje kutoka Dodoma kukimbilia Dar ama ndio yake mambo ya mwendazake kahamishia wenzie dodoma ila yeye akaenda kufia Dar. Kuna kitu hakiko sawa katika hili, mosi alitakiwa asisafiri kama alikua waleo ama wa kesho kujifungua, pili hao si ndio wana miposho ya kwenda hata kujifunghulia south Why Tumbi? au ndio duluma aldhuulumaaaat inaanza kufanya kazi.
Nilichanganya sio upstairs ni operation alifanyiwa tumbi alikuwa njian akitoka dom kwenda dsm sasa walipofika maeneo ya kibaha bahati mbaya chupa ikapusuka na siku zikiwa bado so huduma ya kwanza ni hapo tumbi ndo wakamfanyia operation mtoto akatoka akapelekwa muhimbili kwenye oxygen na hadi sasa yupo huko mtoto wa kiume ....na yeye pia alifanikiwa kuamka baada ya CS lakini mida ya jana alfajir hali ikabadilika akafariki mida ya saa 6 mchana
 
Back
Top Bottom