zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
Kwani ulikuwa uchaguzi wa kikabilaHuyu mhaya alipitaje huko rukwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ulikuwa uchaguzi wa kikabilaHuyu mhaya alipitaje huko rukwa
Kwani Hawa walikuwa na usomi wa kiasi gani zaidi ya kusoma na kuandikaRukwa wenyeji wako busy na shughuli za kijamii kusoma sio kivile
Sio kudhani ni kweli ni mtoto wa anna lupumbe mbungeApumzike kwa amani,nadhani Mama yake pia ni Mbunge(Mh.Lupembe)
Kuna mahali nimesoma kuwa kifo kimetokana na matatizo ya kujifungua. Ni ukweli usiopingika kuwa bado tuna idadi kubwa sana ya kina mama wanaofariki wakati wa ujauzito na kujifungua. Hizi takwimu hazijabadilika kwa mda mrefu japo ndio kipimo muhimu cha ubora wa afya katika nchi yoyote.Ugonjwa gan umempumzisha ?
Alikua week ya ngapiNilichanganya sio upstairs ni operation alifanyiwa tumbi alikuwa njian akitoka dom kwenda dsm sasa walipofika maeneo ya kibaha bahati mbaya chupa ikapusuka na siku zikiwa bado so huduma ya kwanza ni hapo tumbi ndo wakamfanyia operation mtoto akatoka akapelekwa muhimbili kwenye oxygen na hadi sasa yupo huko mtoto wa kiume ....na yeye pia alifanikiwa kuamka baada ya CS lakini mida ya jana alfajir hali ikabadilika akafariki mida ya saa 6 mchana
Wabunge viti maalum Rukwa mmoja Mhaya mwingine Mnyakyusa.
Ila kwa kifo cha huyu mbunge nadhani safari ya kutoka Dodoma kwa gari imechangia lakini pia na mila na desturi nazo zimechangia maana kina mama wengi huwa tarehe ya kujifungua (umri wa mimba) huwa hawaweki wazi labda kwa watu wachache sana wa familia. Kilichotokea huyu mbunge alizuiwa uwanja wa ndege kusafiri kutokana na hali yake ya ujauzito hivyo wabunge wenzake wakatangulia na yeye akatumia gari kusafiri na uchungu ukamkuta akiwa safarini na ukiongeza na factor ya huduma zetu za kiafya kwenye mambo ya dharula hapo ni kasheshe tu. Kama angekuwa ameweka wazi kwa wanawake wenzake sidhani kama kuna mwanamke miongoni mwa wabunge wangemruhusu asafiri kutokana na hali yake.Aisee Allah ampe kauli thabiti.
Binafsi huwa nikiona mjamzito huruma huniijia sana ukizingatia hali ya siku hizi vifo vipo jirani sana japo tunajifariji kuwa tumeendelea kwenye sekta hii.
Kwa sasa ukisikia mkeo/mpenzio nu mjamzito basi lazima uwe muangalifu kwa kila hatua, sisemi kwamba Mh. hakuwa na uangalifu ila nazungumzia jamii yetu kwa asilimia kubwa Mungu tuu ndio anayetusimamia.
Kama kwenye ndege walimzuia kusafiri, kuna uwezekano ujazito wake ulikuwa zaidi ya week 35Alikua week ya ngapi
Mkuu jibu liko wazi, wiki za mwisho mwisho kuelekea kujifungua zimegongana na vikao vya bungeKwanini asingeomba maternity leave tu
Ova
Uroho wa posho hakuna kingineKwanini asingeomba maternity leave tu
Ova
Duh ukweli mtupu umesemaUroho wa posho hakuna kingine
Kama kuna mwanamke una mimba huko bungeni acha uroho wa posho
kwanza hawahitaji hata kuomba maternity kuna idadi ya vikao ambavyo asipohudhuria ndio huachishwa ubunge
Angeweza hata kutoenda tu na hakuna mtu angemsumbua sababu angekuwa tu posho za hiyo safari na posho za vikao yeye kabaki salama na mwanae
Pesa kwa wengine kitu kibaya sana
DuhMkuu jibu liko wazi, wiki za mwisho mwisho kuelekea kujifungua zimegongana na vikao vya bunge
Hiyo aya ya kwanza..hiyo trial siyo salama kwa mama na mtoto..wenda afanye hiyo trial kwenye facility kubwa ambayo wanaweza fanya emergency c/s likitokea la kutokea otherwise tutaongea mengine hapa.Usiwe na wasiwasi... Anaweza akajifungua kawaida tu bila operation tena endapo sababu zilizopelekea kujifungua kwa operation mwanzo zilikuwa ni mtoto... Haikuwa kwa sababu ya maumbile ya mama...
Kama sababu ni mtoto... TAHADHARI JAMANI KWA WAJAWAZITO WOTE ESPECIALLY UJAUZITO WA KWANZA...
USIKURUPUKE KUMUWAHISHA MJAMZITO HOSPITALI PINDI TU UCHUNGU UKIANZA... MPAKA UJIHAKIKISHIE CHUPA IMEPASUKA... NA ANDAENI MAZINGIRA MAPEMA YA KUJIFUNGUA HATA AKIWA NJIANI ANAENDA HOSPITAL...
KOSA TUNALOLIFANYA WENGI... MKE ANAWAHI HOSPITAL UCHUNGU TU UNAPOANZA... UKIFIKA TU MOJA KWA MOJA THEATRE... HASA HOSPITAL ZA PRIVATE(Hapa maslah ya kipesa)... Hospital za serikali... Kama kuna wanafunzi ndio PRACTICAL SPECIMEN... AU UVIVU...
FACTOR NYINGINE... OPERATION ZIMEKUWA NYINGI HIVI SASA... ILI KUPUNGUZA RATE YA KUZALIANA(Uzazi wa mpango kwa lazima) ... COZ UZAZI WA OPERATION UNA LIMIT YA KUZAA...
USIMUWAHISHE MKEO HOSPITAL... LABDA ALIGUNDULIKA ANA KIFAFA CHA MIMBA AU PRESSURE YA MIMBA WAKATI WA CLINIC... KAMA ALIKUWA SALAMA TU... BASI WEWE MWACHE APAMBANE NA MAZOEZI MPAKA CHUPA IPASUKE NDIO MUENDE LABOUR...
Marehemu uroho wa posho za safari na za kamati umeondoa uhai wake na mwanae.Duh ukweli mtupu umesema
Uroho wa posho
Ova
Duuh AiseeIla kwa kifo cha huyu mbunge nadhani safari ya kutoka Dodoma kwa gari imechangia lakini pia na mila na desturi nazo zimechangia maana kina mama wengi huwa tarehe ya kujifungua (umri wa mimba) huwa hawaweki wazi labda kwa watu wachache sana wa familia. Kilichotokea huyu mbunge alizuiwa uwanja wa ndege kusafiri kutokana na hali yake ya ujauzito hivyo wabunge wenzake wakatangulia na yeye akatumia gari kusafiri na uchungu ukamkuta akiwa safarini na ukiongeza na factor ya huduma zetu za kiafya kwenye mambo ya dharula hapo ni kasheshe tu. Kama angekuwa ameweka wazi kwa wanawake wenzake sidhani kama kuna mwanamke miongoni mwa wabunge wangemruhusu asafiri kutokana na hali yake.
Kwa nchi zetu hizi hata kama huduma za afya tia tia maji unapofikisha wiki chache kabla ya kujifungua unatakiwa ukae kwa kutulia na hata kama unapiga mishe mishe za hapa na pale basi ziwe within eneo lako la kujidai.