Mbunge wa Viti Maalumu aolewa na Maulid Kitenge

Mtangazaji wa WASAFI FM na Kada wa CCM Maulid Kitenge amedaiwa kufunga ndoa na mbunge wa viti Maalum ( Chadema) mh Nusrat Henje

Hongereni maharusi

Siasa siyo Uadui

Source Jambo TV

Nawatakia Dominica njema😂
Huyo ni mbunge wa bunge, heshimu uamuzi wa mahakama wewe na Kitenge chako.
 
Mtangazaji wa WASAFI FM na Kada wa CCM Maulid Kitenge amedaiwa kufunga ndoa na mbunge wa viti Maalum ( Chadema) mh Nusrat Henje

Hongereni maharusi

Siasa siyo Uadui

Source Jambo TV

Nawatakia Dominica njema😂
Kama wamekula mshahara kwa kodi zetu muda wote huo anashindwaje kuomba michango ya kuolewa🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…