TANZIA Mbunge wa zamani, Nimrod Mkono amefariki dunia nchini Marekani

Kamrisho Gambo kapuuzi ka juzi tu, na kenyewe kalijipa shule, kakiwa kamkuu ka mkoa. Kalionea na kuibia watu sanaaa
 
Umeandika vema na kwa weledi sana
 
Safi sana umenena vyema sana
 
Kuna kipindi nilisikiaga tetesi kwamba huyu Marehemu alikuwa anashindana na Marehemu Liyumba kutembea na warembo macelebrit na kuwapatia zawadi Magari yenye rangi nyekundu.
Yaani Liyumba akipita naye , naye anapita naye, Yeye akipita naye Liyumba akisikia na yeye Liyumba anapita naye. Yaani full kushindana.
Ila huyu Mzee alikuwa unique kidogo kama mrembo alikuwa na boyfriend au mume na yeye boy friend au mume alikuwa anapewa gari pia.
Kwamba yeye na Liumba Lao kulikuwa moja kusambaza Umeme Kwa warembo na macelebrit.
Mwenyezi Mungu amhifadhi anapostahili
 
Mjane ( Mama Leah ) na Bintiye mkubwa na Marehemu Mzee Mkono aitwae Leah wametuumiza Wengi kwa walichomfanyia Mzee wa Watu Mkono wakishirikiana na Mbunge ( EK ) aliyezaa Kimkakati na Leah Mkono ili apige Fedha za Mzee Mkono na ajipatie Mali.
 
"Kuna kipndi nilisikia"
 
Tuache kujitafutia Dhambi na Laana. Marehemu Mzee Mkono hakuwa Muhuni hivyo / hivi na hakuwahi Kushindana na Mtu kwa Kulala hovyo na Warembo kama usemavyo.

Alikuwa ni Mnywaji mzuri wa Wine na Bia mara moja moja sana na wa pembeni alikuwa nao Wamama Wawili tu ( nje na Mkewe ) ambao kwa Kimaadili nawahifadhi.

Na kwa Wazanaki kuwa na Nyumba Ndogo / Hawara wenyewe wanaita Ekitungo ni Kitu cha Kawaida mno na ndiyo maana hata huwa sishangai Kumuona Rafiki yake Bujibuji Simba Nyamaume na Dr Matola PhD hapa JamiiForums aitwae GENTAMYCINE akiwa ni Mpenda Wanawake ( Mwenyewe huita Mbunye ) kwani ni Asili yao Wazanaki.
 
Umenena vyema na kama kuna Mtu ambaye nina uhakika ameumizwa zaidi pia na huu Msiba ni Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere alimpenda mno Mwanae Kiukabila Marehemu Mzee Mkono kwa tabia yake ya Kupenda Kusaidia Watu na kufanya Maendeleo makubwa Butiama na Musoma Vijijini.

Kwa Wazanaki huu ni Msiba mkubwa na mzito mno na natabiri atapata Maziko makubwa pamoja na kwamba aliondoka nchini tokea mwaka 2018 kwa Roho Mbaya za Mkewe ( Mama Leah ) na Mwanae ( Bintiye ) Leah.
 
Hivi lipo bado

Ova
Lipo na ndiyo Leah anaishi hapo / humo na hata Mimba ya Mtoto aliyezaa Kimkakati na Mbunge ( EK ) nayo pia iliingilia moja kwa moja hapo hapo japo Mtoto akaenda Kuzaliwa nchini Marekani ambako Leah kwa muda mrefu ni Raia wa huko.

Kuishi Kwake hapa Tanzania ni kwa Makosa na Uzembe tu wa Watu wa UHAMIAJI ambao ( baadhi yao ) walikuwa Wakihongwa nae Leah ili wasimsumbue kuhusu Kuishi Kwake hapa Tanzania Kinyemela wakati Yeye ni Mmarekani na ana Uraia wa huko.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume na Dr Matola PhD
 
Duh

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…