TANZIA Mbunge wa zamani, Nimrod Mkono amefariki dunia nchini Marekani

Nimrod wa maandiko hakuwa mnyonge na huyu wote ni nimrod basi mwanangu namuhifadhia hili jina

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
So sad,Pumzika kwa amani.Ni mtu ambaye alisaidia Jimbo lake pakubwa Sana hasa katika swala la elimu na miundo mbinu ya barabara.Umeacha Alama ktk jamii yako,watakukumbuka kwa mchango wako ktk swala la elimu kwa kujenga shule za chief wanzangi na osward mango'mbe.
 
Kama ilivyoandikwa "Yote ni bure. Bure kabisa! Ni sawa na kufukuza upepo. Kuliko jema ni kutenda mema na kumtumikia Mungu"
 
Bado ni Mbunge? Duh ila CCM buana?!
 
Namkumbuka huyu jamaa alikuwa mwenyekiti wa kwanza kabisa wa board ya mikopo. Tulipinga sana hii kitu tukiwa UDSM..Siku moja tuligoma mwamba akaja Nkuruma kama saa 4 hivi akauliza vijana mnataka nn? Watu boom?
Akasema naenda kushughulikia saiv kabla ya lunch kila mtu atapata pesa yake
Akaondoka kweli bhana Na harakati za mgomo zikaishia pale
Mambo ya kunji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…