TANZIA Mbunge wa zamani, Nimrod Mkono amefariki dunia nchini Marekani

Namkumbuka sana Mzee Nimrod Mkono na MaRange na MaVogue yake! Ndiyo Matajiri wa Mwanzoni Kutembelea Range Sports!
Busegwe ndio yalikuwa makao makuu ya Wasabato Tanzania ndio kijijini kwa Nimrod Mkono, palikuwa na airstrip hapo Busegwe na Nimrod Mkono alikuwa na jeuri ya kupark ndege yake binafsi hapo.
 
Raha ya Milele umpe E Bwana na mwanga wa Milele umuangazie, Apumzike Kwa amani. Amina [emoji120]
 
Msiba mwingine mzito kwa Wasegwe.Bado haijapita wiki mbili toka kufariki kwa msegwe mwingine Prof ,Dr na Major General Koh.Mwamba mwingine ,na msegwe pia,Sasa mbunge na mwanasheria maarufu
na tajiri ,Mkono Nimorood amefariki pia.Mungu wafariji wasegwe wote wazanaki,na watu wote wa mkoa wa Mara.NB.Wasegwe ni watu wakijiji cha Busegwe kilichopo karibu na kijiji cha Butihama.Ni Kijiji cha mtemi Ihunyo.Ni Kijiji kilichojaliwa kuwa na watu ,wenye vipajj vya Hali ya juuu sana.
 
Busegwe ndio yalikuwa makao makuu ya Wasabato Tanzania ndio kijijini kwa Nimrod Mkono, palikuwa na airstrip hapo Busegwe na Nimrod Mkono alikuwa na jeuri ya kupark ndege yake binafsi hapo.

Jamaa alikuwa na Mpunga sana ,mwaka 2006 UDSM kulitokea mgomo wanafunzi walikosa "BUMU" kutokana na changamoto za kuanzishwa kwa HESLB(Bodi ya Mikopo) ikabidi jamaa azame kwenye account yake akalipa Bs kwa wanafunzi then serikali ikaja kumrefund baadae.
 
Kamfuata rafiki yake Dr Kohi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…