Mbunge wa zamani wa Ndanda Cecil Mwambe amesema ameitwa jijini Dodoma na Spika Ndugai

Acheni mwambe akafaidi hizi posho za wiki mbili jamani
Wakati wabunge halali wa Chadema, walochaguliwa na wananchi, wakitishiwa kufutiwa hiyo posho!

Hakika haya maajabu yanapatikana Tanzania pekee!
 
Usoni alikuwa anaonekana kama vile ni muungwana mwenye busara na akili timamu za kuweza kujitegemea.

Kumbe yalikuwa ni maigizo. Hivi sasa inazidi kujidhihirika kuwa kweli kabisa huyo ndie CCM Jiwe ilikuwa imempandikiza aje kuwa M/kiti 'wao' CHADEMA.

Wenye roho za kimamluki huwa hawana SONI kabisa kama alivyo shetani mwenyewe. Alijiuzulu mwenyewe sasa anafurahia 'kurudishwa'.
 
Ni rahisi tu. Je Chadema waliandika barua kutaarifu mamlaka husika huyo si mwanachama wao tena na hawamdhamini?
 
Wakati wabunge halali wa Chadema, walochaguliwa na wananchi, wakitishiwa kufutiwa hiyo posho!

Hakika haya maajabu yanapatikana Tanzania pekee!
Ukipata madaraka yatumie..
Ningekua spika ningemwita Hadi wife,tuje tufaidi posho za mwisho mwisho.
 
johnthebaptist,
Nchi ya maajabu ikiwa na watu wa ajabu na viongozi wa ajabu. Yeye mwenyewe kwa kujua kuwa amehama chama kwa hiyo amepoteza sifa za kuwa mbunge kwa mujibu wa katiba, hakwenda bungeni. Lakini ameitwa na Speaker kwenda bungeni na yeye amekubali kwenda. Wonders of the World.
 
71.-(1) A Member of Parliament shall cease to be Member of Parliament and shall vacate his seat......
(e) where a Member of Parliament ceases to be a member of the party to which he belonged when he was elected or appointed to be a Member of Parliament.

Nani anamtaalifu spika kwa maandishi kwamba mbunge amehama chama chake au amefukuzwa
(a) Mbunge mwenyewe
(b) Chama alichohama au kilichomfukuza
(c) Msajiri wa vyama
(d) Maneno ya kusikia mitandaoni

Kama yote hayakufanyika kwa nini hasirudi bungeni!
 
Ha haaa....
Unamaanisha ndugai atakuwa ni rip?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

 

Kisheria inawezekana yuko sawa kabisa, sheria sio maneno ni documents, ila kimaadili; sijawahi kuona uchangudoa wa siasa mkubwa kuliko huu.
 
KIROJA + VIROJA = MAVIROJA.

YAJAYO YANAFURAHISHA.
 
Bunge tukufu lazima wanaoingia wawe sheria inawaruhusu. Ndio maana kama kuna mgeni yeyote anatakiwa kuingia ndani ya Bunge sehemu ya shughuli lazima aombewe kibali na wabunge waridhie.
Cecil Mwambe kisheria sio mbunge tena baada ya kukikana chama kilicho mpa tiketi ya kuingia bungeni hivyo hana sifa tena kuingia na kukaa katika Bunge tukufu.
Sasa afanyacho Spika ni kama Imamu aliyepotoka na kuanza kufuga nguruwe (kitimoto) na kwa ubabe wake akaja na nguruwe wake msikitini. Jee waumini wataswali na nguruwe kwa sababu ni wa Imamu? Hapana, watatoka nje maana hiyo ni haramu.
Ndivyo inatakiwa iwe baada ya wabunge halisi wa Chadema wakitoka kwenye karantini. Wawe wana sign mahudhurio na wakiingia ndani na kukuta nguruwe wa Imam (spika) ndani ya "Bunge tukufu" watoke nje hata kama ni kila siku. Haiwezekani Bunge linajisiwe na MTU mmoja Spika halafu watu wrote wawe wapumbavu kuchekea upuuzi huo.
Habari za najisi hiyo zitasikika dunia nzima ndio tuone kama zitatuongezea heshima au kudharauliwa?
 
Ndugai kachanganyikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…