Na ndilo lilikuwa lengo la Ccm. Sasa wameona lime gonga mwamba wana jitokeza hadharani kuonyesha waliyo ya kusudia. Wana tuambia wana pambana na wafanya kazi hewa halafu bunge lina kuja na wabunge hewa. Boss yuko kimya.Binadamu ameumbwa na njaa lakini hii ya Cecil Mwambe ni kiboko.
Unaitangazia dunia kwamba umejiuzulu ubunge na kuhamia CCM tena umepokelewa na mjumbe wa kamati kuu na Sekretarieti ya CCM.
Kisha Spika anakutega nawe unategeka kirahisi kabisa kama kamdada ka standard six na chips za bodaboda!
Hakika Ufipa wangekupa Uenyekiti ungeuza chama.
Maendeleo hayana vyama!
Job anafikiri anawakomoa Chadema kumbe anatukomoa wanachi. Hizo fedha wangepeleka kwenye sekta ya afya kununua gloves na panado tunazozikosa hospitalini. Dhuluma hizi ndio chanzo cha kupingwa kwa hii dunia. Huku tunamwomba Mungu aturehemu huko tunaendelea na dhambi.Taarifa niliyoipata hivi punde inasema jamaa amesharudi bungeni rasmi, na atakaa upande ule wa KUB Lwakatare eti anaemtambua.
Taifa hili sijui tumelaaniwa au ni kitu gani.
But kuwa na CCM itself, naamini ni dhambi tosha inayostahili ubatizo wa maji mengi sana kuiondoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugai atajiwekea rekodi ya kipekee duniani!
Unafika wakati mambo ya hovyo kama haya unayadharu pamoja na wahusika wote.
..tatizo Ndugai anaboronga lakini ni kama vile hajui kuwa anaboronga.
..cha kushangaza ni jinsi wana-ccm wenzake wanavyomuacha tu aboronge.
Kumbe Professor Safari ni msukuma mwenzetu! Wasukuma hoyee! Wagogo mna ndugai mchukueni na bashite anawafaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani sana mkuu JokaKuu...na CDM ilikuwa na Wasukuma ktk nafasi ya Makamu Mwenyekiti[safari], Katibu Mkuu[mashinji], na Naibu Katibu Mkuu[mnyika], halafu kuna watu walikuwa wanasema hicho ni chama cha watu wa "Kaskazini."
cc Pascal Mayalla, Kalamu1 , tindo
..Cecil Mwambe na mama yake mzazi walirudisha kadi za CDM na kukabidhiwa kadi za CCM na KM Dr.Bashiru Ally.
..Sasa katika mazingira hayo kumrudisha Cecil Mwambe siyo kulidhalilisha bunge?
..nashangaa Spika Ndugai ameshindwa vipi kuelewa jambo rahisi kama hili.
Sikujua kuwa Prof Safari ni msukuma. Huku ndipo tulikokuwa tumefikia waTanzania, hapakuwa na sababu kabisa ya kuhangaika kujua kabila la mtu yeyote,..., sasa ni sehemu mhimu...na CDM ilikuwa na Wasukuma ktk nafasi ya Makamu Mwenyekiti[safari], Katibu Mkuu[mashinji], na Naibu Katibu Mkuu[mnyika], halafu kuna watu walikuwa wanasema hicho ni chama cha watu wa "Kaskazini."
cc Pascal Mayalla, Kalamu1 , tindo
BAK,Mkuu unategemea nini kutoka Bunge linaloendeshwa na mwendawazimu aliyewahi kutamka hadharani, “Msinichezee mimi nina faili Mirembe”
BAK,
Wewe ni mtu wa ajabu sana.
Kuoa ndio kunakufanya upotee moja kwa moja?
Nimeshindwa kujizuia kukueleza hili kabla sijaondoka.
Karibu tena. Mengi yametokea wakati ukiwa umewekwa kimada.
Yaani tiss wanaharibu nchi kabisa, sijui hili hawalioni, na sijui inawasaidia nini, anyway mjue mtaishia kuzama kwenye bahari ya shamu kama wale askari wa farao waliozama na kufa pale pale. Pale walipotaka kuwangamiza wana wa israel. Mungu hataangalia kama unafuata amri toka juu (kwa farao).Sikujua kuwa Prof Safari ni msukuma. Huku ndipo tulikokuwa tumefikia waTanzania, hapakuwa na sababu kabisa ya kuhangaika kujua kabila la mtu yeyote,..., sasa ni sehemu mhimu.
Sasa kwa vile umemtambulisha hivyo, akili inaanza kunichanganya na jinsi alivyoachia uongozi CHADEMA.
Hivi alieleza sababu zilizomfanya aachie uongozi wa chama hicho?
Kuna uwezekano alipewa ushauri (kutoka juu); kama alivyoshawishiwa Mashinji?
Haya ni maswali yanayoniijia haraka haraka.
Kuna watu walimzungumzia sana Mnyika humu JF toka kitambo, na hata jana tu? Bado kuna juhudi hizo za kumnasa 'Msukuma Mnyika'?
Ni lazima waTanzania tufike mahala na kuyatambua haya mambo yalivyo na ni wapi yanakotuelekeza.