Mbunge wako ni nani? Unampa ngapi kati ya 10 kwa maendeleo aliyokuletea?

Mbunge wako ni nani? Unampa ngapi kati ya 10 kwa maendeleo aliyokuletea?

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,183
Reaction score
2,100
IMG_9107.jpeg


Wakuu,

Huko X kuna mjadala unaendelea umenivutia nimeona niwaletee huku

Swali ni hili, Mbunge wako wa sasa ni nani, na kwa kipindi alichopo madarakani, unampa alama ngapi kati ya 10 kulingana na maendeleo ya kweli aliyoyafanya kwenye jimbo lako?

Karibuni
 
Barabara isiyozidi km 2 inachukua miaka 2 kweli? Ameshindwa kulipigia kelele kabisa tunapata shida tu na barabara hiyo ni very potential kwa eneo hilo.

Nisaidieni nyie kumpa marks
 
Tabasamu muuza petrol,mwanzo alikuwa na moto bungeni ila siku hz kaufyata kama hayumo,alikuwa na machungu sana na nchi yake ila mafisiemu yamemnyamazisha na yana mpango yamnyang'anye jimbo yampe NGEREJA

Ila jamaa kajitahid kwenye hili jimbo hasa hasa maeneo ya mjini tofauti na Ngereja enzi zake

Anakula 6/10
 
Mabula (me) ni mbunge mzuri sema kuna kakikundi kana mhujumu mwamba, barabara za nymagana ni trash kwakweli, kidogo hii ya buhongwa kishiri nayo wameigusa kama km 2+
 
Kwani mbunge ana bajeti gani ya kuleta maendeleo jimboni? Au mshahara wake
 
Back
Top Bottom