Huko X kuna mjadala unaendelea umenivutia nimeona niwaletee huku
Swali ni hili, Mbunge wako wa sasa ni nani, na kwa kipindi alichopo madarakani, unampa alama ngapi kati ya 10 kulingana na maendeleo ya kweli aliyoyafanya kwenye jimbo lako?
Barabara isiyozidi km 2 inachukua miaka 2 kweli? Ameshindwa kulipigia kelele kabisa tunapata shida tu na barabara hiyo ni very potential kwa eneo hilo.
Tabasamu muuza petrol,mwanzo alikuwa na moto bungeni ila siku hz kaufyata kama hayumo,alikuwa na machungu sana na nchi yake ila mafisiemu yamemnyamazisha na yana mpango yamnyang'anye jimbo yampe NGEREJA
Ila jamaa kajitahid kwenye hili jimbo hasa hasa maeneo ya mjini tofauti na Ngereja enzi zake
Mabula (me) ni mbunge mzuri sema kuna kakikundi kana mhujumu mwamba, barabara za nymagana ni trash kwakweli, kidogo hii ya buhongwa kishiri nayo wameigusa kama km 2+