Mzee pitbull ashawahi kuHilo limbwa ni pitbull, haya mambwa hajawahi kua na akili timamu. Inaonekana jamaa alishikishwa kwa ni juavyo mimi bulldog ana miguu mifup na mkia mfupi. Sasa inaonekana jamaa aliangalia uso tu akajua ni bulldog kumbe ni pitbull jibwa wehu lilo pigwa marufuku kufugwa na nchi zaidi ya 50 ulimwenguni.
Boerbol vipi?bahati ni kwamba meno ya bull dog hayana ncha kali kama german sherfad au rottweiler,meno yao yapo kama punje za mahindi,,lakini kiuhalisia bull dog hawana akili wala kumbukumbu nzuri,na ni wazito sana wakati kuwafundisha,ni mbwa niliobahatika kuwafundisha lakini kichwani hamna ki2 tofauti na german shrfad
Ushajaribu?Koko ukimfuga kizungu na mafunzo juu anakuwa mbwa poa tu [emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mala walisha pigwa marufuku mala awafugwi na masikini unaota au
Au mlinzi akiondoka au kuacha kazi Ni rahisi kuchorea ramani wezi kwasababu mazingira ya nyumba yako anayajuaMasai walikuwa zamani. Siku hizi ni wataalamu wa kuchora michoro na kuwapa ramani wezi. Utakuta nyumba inavamiwa na masai wako kafungwa kamba mikononi kama geresha tu.
Acha kutesa wanyamaMimi na kambwa koko kangu nilikanunua sasa nikawa nakatrain kwa kukapiga na kukapa mateso kama walimu wa mbwa wa jamiiforums walivyosema , ajabu kalipopata mpenyo wa kutoka getini hili ni juma la tano hakajarudi nyumbani nikimuona mtaani ni mwendo wa mbio tu [emoji848]
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Afrika ni zero brain,badala wapige risasi za usingizi kisha wachunguze kwa nini wamebadilika ghafla-wao wanaua.
Waliosema akili ni mali hawakubahatisha-kwa kweli.
Wakinaoob wetu hahaaaMbwa au simba?
Mzee kingunge yalimkuta hayo hayo
bora hawa kina bobi wetu akibweka inatosha
Wapo mbwa wa kiswahili wakali balaa na wana maumbo makubwaKabisa mkuu, sisi tubaki na hawa hawa akija mgeni anabweka huku mkia keshaubana matakoni[emoji1787][emoji1787]
Boerbol wana mikia mifupi huyo mbona ana mkia mrefukwa uzoefu wangu wa picha hiyo hao mbwa sio bulldog....huyo ni boerbol ...kifupi kwa wafugaji wa mbwa hasa ukiwa na familia mbwa yeyote kama hawa jamii wa bulldog sio wakufuga.
Mbwa mzuri mwenye kukumbuka fadhila ni German Shepherd pekee. Kwa anayehitaji pure shepherd puppy anidm natuma mikoani pia
Vyakula vipi....inasemekana wana vyakula vyao special ...hawali pumba na dagaa hao....ukiwaletea pumba wanakasirika[emoji3][emoji3] hawapendi shidaTatizo hapo ni moja tu hawa walioshambuliwa wamekuwa wakiishi na hao mbwa kama mbwa na si kama rafiki. Yawezekana mtu aliyetoka nje mara ya kwanza hana mazoea na hao mbwa. Na wakati anatoka ndani ya nyumba mbwa walikuwa upande mwingine hivo wamestuka kumwona na baada ya mbwa kumfuata hakuonyesha ishara kuwafaham mbwa ikiwa ni pamoja na kuwaita kwa majina.
Jambo la pili yawezekana hawa mbwa amewanunua wakiwa wakiwa tayari wakubwa na kuna baadhi ya tabia walikuwa nazo awali au kuna vitu walikuwa wanafanyiwa na sasa havifanyiki.
Jambo la tatu je hao mbwa wana mafunzo kwa maana ya kutii amri za master wao wao? mbwa wanaishi kwa tabia ya makundi maanake ni kuwa lazima kuwa na Pack na awepo master. Mfugaji usipochukuwa jukumu la kuwa master mbwa atatake over na yeye kuwa master.
Jambo la nne je kama familia wametenga muda wa kuwafanyisha mbwa wao mazoezi ili wasiwe bored na kujiona kama wana adhibiwa? Kama umeaamua kufuga mbwa wa kundi hili:- 1. Rottweiller 2. Bull Dog 3. American Pitt Bull 4. Great Dane 5. Bull mastiff 6. Pitt Bull Terrier 7. Cane corso na BoreBorel kama hauna muda wa kutosha kuwafanyisha mazoezi tafadhari achana nao. Fuga mbwa kama German Shepherd nk. Na endapo familia yako hawapendi mbwa weka mipaka mbwa wakishafunguliwa mtu asitoke nje.
Niliwahi kuandika kwa urefu sana kuhusu mbwa hawa wakizungu kwa wao wenyewe wazungu wanakwambia hiyo jamii hapo juu ni loaded guns on the table, muda wowote inaweza kufyatuka.
Again dogs are very friendly animals only if you know and understand their ABC. Pole sana kwa waanga na next time achukuwe somo ni namna gani ya kuishi na hawa viumbe. Mimi nimefuga hawa wadudu kwa muda mrefu na ninao jamii tofauti nyumbani kwangu mpaka mtaani wanaita kwa Mambwa lakini sijawhi pata kesi nyumbani zaidi ya kesi za mtaani ambapo nilikuwa na mbwa jamii ya Belgium Malinious ambaye alikuwa anaruka ukuta wa kozi kumi za block na kwenda kuattack wapita njia. Nilitafuta namna ya kumdhibiti ikiwa ni pamoja na kumhasi then hamna tena shida.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mbwa anahitaji nyama kilo tano....mzee endelea kufuga tu wa kawaida Hawa wakina bobi mgeni akipiga hodi wanabweka huku wamefyata mkiaYanii nikae na kitu chenye garama kuliko hata nikiongeza mke wa pili hizo mambo siwez asee
Mrangi ushawafuga Hawa?Lol! Ujue kuna wakati tu ukifika unakua unahitaji mbwa wa aina hiyo ili kuwa na uhakika wa usalama wako ukiwa ndani ya nyumba.
Ova
Imetokea Tanzania au mbele?Hao rotti ndio takataka kabisa hawafai kuna mmama nadhani ilitokea uk alikuta kala mtoto wake kimebaki kichwa linajilamba lamba
Wazungu wanawafuga sana ushuani masakiHumu mitaani kuna wanafuga rotti na bulldog sijui hawawajui madhara yake!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tufuge tu Hawa wakina bobi wa kawaidaHapana huyo anajua kila kitu, jambo la kwanza kwa mtu yoyote anapokwenda nunua kitu lazima ataulizia model ili ajue anafuga nini.
Huyu aliambiwa na alijua anachukua toleo gani la mbwa. Ni wale watu wajuaji wanapoambiwa kitu fulani hakifai yeye anataka kujifunza kwa gharama anata kuprove kuwa yeye ana maamuzi ya kitofuti.
Kuna m'moja hapo Arusha na yeye aliyachukua haya maumbwa akafuga, yalimuulia mtoto wake mdogo wa miaka 2. Hadi leo nadhani akiona hawa mbwa kwenye tivi anaweza vunja.
Imagine kupoteza mtoto wako kizembe sababu ya ujuaji mwingi na kujifanya wewe unajua sana mbwa. Maumbwa mawili yalikamata shingo ya mtoto yalimrarua huku mwingine amekata paja.
Nadhani jamaa akikumbuka ile tukio anakaa chini analia sana right kama angesikiliza maneno ya watu wenye hekima walipomwambia haya maumbwa sio ya kufuga yeye akasikiliza maneno ya dog trainer aliyekuwa anamwambia hawa mbwa ni wazuri ukiishi nae hivi na vile.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hahahaaa.....mzee hawapendi sana Hawa mbwaUmeambiwa huwa wanawapaga chakula it means wameshachangamana nao. Mbona watu wengine mnakuwa na vichwa vizito kuelewa, unatetea vitu ambavyo ni hatari.
Sena GS wana maumbo madogoNilipokua.kijana mdogo kwetu nimefuga sana mbwa hawa wa kawaida.Sasa hivi nimekua baba wa familia nimefuga Germany Shephard...jike..ana miaka 2 sasa.Nimekuja kugundua kuna utofauti mkubwa sana nikilinganisha na hawa wengine....yuko composed, hapanick, habweki ovyo ovyo, royal.muda wote anakuangalia straight machoni kama vile anasubiri umwambie kitu.Akibweka mishindo miwili tu mtu wa kawaida lazima a-feel.
Nawaza nitafute Rotweiler dume, nimix
Alivotoka akayaua yoteHiyo mimbwa siyo ya kufuga. Nina jirani yangu yalitaka kumpeleka kuzimu!!! Yalimshambulia majibwa manne!!! Imagine yeye ndiye alikuwa anayalisha, anacheza nayo na kufanya kila kitu!!!
But siku isiyo na jina yalimshambulia kidogo yamuue!!! Alilazwa hospital miezi miwili yuko kwenye coma!!!
Uislamu unasemaje kuhusu kufuga mbwa...Hivi si marufuku?Mbwa hao ni hatari sana tena sana. Hao ni Pitbull.
Mwenyewe anajuwa kawawekea ulinzi familia yake kumbe ndiyo kawawekea hatari.
Inasikitisha sana.
Kuna jamaa yangu mmoja anao, lakini yeye ana uwezo kifedha, kawawekea watu wa kuwatazama mwanzo mwisho, kuanzia usafi wao, kula yao, mazoezi yao na mafunzo yao.
Anao hao pitbull kama wanane kwake, akitoka au kurudi mtu wa nyumbani kwake wana banda lao la chuma wahudumu wao wanapigiwa simu wawafungie ndiyo atoke au aingie ndani kukatiza yadi yao.
Bila kuwa na pesa za maana iusijaribu kuwafuga hao, kuna siku watakugeukia.
Hao mbwa ni wehu kabisa. Kula kwa wakati wake, kukojowa kwao kwa wakati wake, kunya kwao kwa wakati wake, kukogeshwa kwao kwa wakati wake.
Ukibadili ratiba yao, ushakuwa adui kwao, hawana sijuwi nilisahau. Utakoma kusahau.
Watanzania awashauri msiwafuge hao kabisa, hawana ujanja wala mazowea ya kudumu hao.