Mbwa anauzwa 300k

Huyo mbwa atafia kwa mnunuaji.. ni vyema ukampa lishe nzr kwanza maana hayo manyoya hayakosi kunguni pia
kiafya yuko fit , .. sasa mkuu kunguni na mbwa wapi na wapi , au we mwenzangu wakishua hujui makazi ya kunguni
 
Mimi hapa ndio zinaniua mbavu na giza lote hili πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†. Mtoa mada anakwepa mishale kadri awezavyo
Kiukweli hata mm nimecheka sana na kusikitika kwa wakat mmoja yani mtoa mada kamuokota mbwa wawatu anataka atajirikie humo na ukute hata hajamhudumia mbwa kwa chchte ktu zaidi ya mabaki ya msosi wake anaokula kwa shemeji yake me ningemshauri tu ampe tu mtu anayeweza kumtunza vzuri uyo mbwa, jamaa linaonekana hata halina mapenzi na mbwa uyo sema bc tu linawaza maokoto ningekua karibu yake ningemchapa fimbo nyingi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…