Mbwa anauzwa 300k

Mbwa anauzwa 300k

Mimi napenda mbwa ila vidudu mbwa si vipendi vinatabia za ajabu ajabu sana, kuna siku nilikuwa nimeenda kumtembelea rafiki yangu mmoja wa kizungu anacho kimbwa chake jamii ya Chihuahua, japo huyu wa kwenye ni kama Corgi. Sasa bana wakati nimekaa kwenye sofa napiga stori na huyu demu wa kitasha hiki kidugu kikaja kikaanza kupiga miti raba ya niliokuwa nimevaa. Ndo yule demu akaanza kukizuia Rio stop, Nooo.
Kimoyo moyo nilimind sana lakini ndo hivo. Ila hicho ungekuwa Unguja hata 500k kwa wazungu unakamata.
hiv vina adabu na vinafundishika
 
Huu muda unaokomalia kusema mbwa wangu ana minyoo , ungejitibia minyoo yako kwanza , maana naona imeanza kuleta madhara mpka kwenye ubongo wako
Nadhani wote mtakuwa na minyoo. Huwezi waza hata kukiuza hicho kipanya kwa tsh 20,000.. wewe unataka 300,000 huwezi kuwa sawa. Umeathirika wewe na kimbwa chako hamli chakula kisafi. Mnaokota okota.
 
Back
Top Bottom