Mbwa anauzwa 300k

mkuu, mnunue umpelekee manzi ako uone atakavyompenda mbwa kuliko wew, inshort wanunuzi ni wadada wakishua ,
 
sasa umeanza kutema pumba mkuu, au uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo ?
Hapana umezidi... Bado sana hapo. Hako kambwa kamebeba minyoo na ni gharama sana kukarudisha kakae kama ka mbwa maana mpaka kamedumaa. So ni bora akagawe na ampe ambaye atakachukua some cash kukahudumia.
 
sina uzoefu sana na jamii za mbwa, kwa mwenye uhitaji basi aje Pm , kwa details zaidiView attachment 2949024
Mimi napenda mbwa ila vidudu mbwa si vipendi vinatabia za ajabu ajabu sana, kuna siku nilikuwa nimeenda kumtembelea rafiki yangu mmoja wa kizungu anacho kimbwa chake jamii ya Chihuahua, japo huyu wa kwenye ni kama Corgi. Sasa bana wakati nimekaa kwenye sofa napiga stori na huyu demu wa kitasha hiki kidugu kikaja kikaanza kupiga miti raba ya niliokuwa nimevaa. Ndo yule demu akaanza kukizuia Rio stop, Nooo.
Kimoyo moyo nilimind sana lakini ndo hivo. Ila hicho ungekuwa Unguja hata 500k kwa wazungu unakamata.
 
Hapana umezidi... Bado sana hapo. Hako kambwa kamebeba minyoo na ni gharama sana kukarudisha kakae kama ka mbwa maana mpaka kamedumaa. So ni bora akagawe na ampe ambaye atakachukua some cash kukahudumia.
Huu muda unaokomalia kusema mbwa wangu ana minyoo , ungejitibia minyoo yako kwanza , maana naona imeanza kuleta madhara mpka kwenye ubongo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…