Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu, mnunue umpelekee manzi ako uone atakavyompenda mbwa kuliko wew, inshort wanunuzi ni wadada wakishua ,Kiukweli hata mm nimecheka sana na kusikitika kwa wakat mmoja yani mtoa mada kamuokota mbwa wawatu anataka atajirikie humo na ukute hata hajamhudumia mbwa kwa chchte ktu zaidi ya mabaki ya msosi wake anaokula kwa shemeji yake me ningemshauri tu ampe tu mtu anayeweza kumtunza vzuri uyo mbwa, jamaa linaonekana hata halina mapenzi na mbwa uyo sema bc tu linawaza maokoto ningekua karibu yake ningemchapa fimbo nyingi mno
mkuu sema huna hela , tantalila za niniDalali umeshikishwa mimi hata buku 10 sikupi
nani tena huyo anaepiga spana watuila wabongo nuksi,wanapiga spana kweli kweli
inaruhusiwa , ila mnunuaji asiwe mrafi wa nyama maana hatashibaHata sisi Wahehe tunaruhusiwa kumnunua?
acha kumsemea , amekuambia? mbna hua nacheka nae , .. nimemuambia aigize kutia huruma ili mteja apatikaneIla mbwa ni mnyama wa ajabu sana akiwa anapitia magumu au akiwa na huzuni ukimtizama usoni huwa anaonyesha kabisa hana furaha.
sa mkuu ulitaka nimchinje tule pasaka? mimi sio muhehe bhnaWatu skukuu inakaribia mnaamua kuuza hadi mbwa wenu.. sio poa wana dah.
kamwene , karibu mali safi na tamu hiyoHata sisi Wahehe tunaruhusiwa kumnunua?
mkuu hujaona nimeongeza picha zingine ? au una lipi la kusema
yanga ana uhusiano upi na mbwa wangu
Afadhali hata anayekula vichwa vya dagaa. Haka kambwa kanaonekana kanakula udongo na mbolea.daah , wabongo ni wabongo tuu , minyoo atoe wapi ? huyo hali ugali na vichwa vya dagaa kama hao mbwa wenu
Sinywi mkuu nipo siriazi. Malezi niliyolelewa yanachangia.mkuu zile bia unazokunywaga weekend ungekua ushanunua hao mbuzi 6
sasa umeanza kutema pumba mkuu, au uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo ?Afadhali hata anayekula vichwa vya dagaa. Haka kambwa kanaonekana kanakula udongo na mbolea.
Haya mtafute uyo mwambie upo Mwanza unatafuta mteja wa uyo Mbwa +255784375467 mwingine +255767266950mkuu mbwa hateseki , hajazoea tuu mazingira ya uswahilini, kakulia ushuani huyo
Hapana umezidi... Bado sana hapo. Hako kambwa kamebeba minyoo na ni gharama sana kukarudisha kakae kama ka mbwa maana mpaka kamedumaa. So ni bora akagawe na ampe ambaye atakachukua some cash kukahudumia.sasa umeanza kutema pumba mkuu, au uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo ?
Mimi napenda mbwa ila vidudu mbwa si vipendi vinatabia za ajabu ajabu sana, kuna siku nilikuwa nimeenda kumtembelea rafiki yangu mmoja wa kizungu anacho kimbwa chake jamii ya Chihuahua, japo huyu wa kwenye ni kama Corgi. Sasa bana wakati nimekaa kwenye sofa napiga stori na huyu demu wa kitasha hiki kidugu kikaja kikaanza kupiga miti raba ya niliokuwa nimevaa. Ndo yule demu akaanza kukizuia Rio stop, Nooo.sina uzoefu sana na jamii za mbwa, kwa mwenye uhitaji basi aje Pm , kwa details zaidiView attachment 2949024
Huu muda unaokomalia kusema mbwa wangu ana minyoo , ungejitibia minyoo yako kwanza , maana naona imeanza kuleta madhara mpka kwenye ubongo wakoHapana umezidi... Bado sana hapo. Hako kambwa kamebeba minyoo na ni gharama sana kukarudisha kakae kama ka mbwa maana mpaka kamedumaa. So ni bora akagawe na ampe ambaye atakachukua some cash kukahudumia.