Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Jibwa hili linalojulikana kama Commander ameshang'ata wafanyakazi wa ikulu karibia mara 15
Kabla ya Commander, Biden alikuwa na mbwa mwengine aliyeitwa Champ ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 13.
Mkasa uliopelekea commander kuondoshwa ni pale mnamp septemba 25 mnyama huyo aliyemng'ata mlinzi mmoja na kupelekea kulazwa hospitali kwa matibau.