Mbwa wa Biden aondoshwa ikulu kwa kung'ata ovyo mpaka walinzi wake

Mbwa wa Biden aondoshwa ikulu kwa kung'ata ovyo mpaka walinzi wake

Ubaya mbwa wa wenzetu wamepitia mafunzo ya hali ya juu tangia wakiwa wadogo.
Na mpaka mbwa anapelekwa ikulu anakuwa amefuzu mitihani mingi anayokuwa amepewa.

Shida imekuja baada ya kuonesha udhaifu
Wamemtoa wakati akitimiza majukumu yake, "Dog is so intelligent" kiumbe kinaona mpaka wachawi hiki.
 
View attachment 2772985
Jibwa hili linalojulikana kama Commander ameshang'ata wafanyakazi wa ikulu karibia mara 15
Kabla ya Commander, Biden alikuwa na mbwa mwengine aliyeitwa Champ ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 13.

Mkasa uliopelekea commander kuondoshwa ni pale mnamp septemba 25 mnyama huyo aliyemng'ata mlinzi mmoja na kupelekea kulazwa hospitali kwa matibau.
Nikitembelea hapo Ikulu, aning'ate aone kichaa cha mwafrika!
 
Nimeanza na wewe, maana wewe ndio monitor wa darasa hilo.
Hapana mkuu watafute wenzio ndg yangu...mimi siwezi kuandika hizo mambo hata iweje ndio maana nimegundua tumetofautiana sana Umri pia...
 
Back
Top Bottom