iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Naomba ushauri mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu anabwekea wapangaji nahisi nitapata kesi kwa ukali wake nyumba yangu haijawahi kuibiwa ila Sasa ukali wake ni too much.
Nimempiga zile sindano tatu wapi bado hakomi (ant rabis) nyumba yangu ni kubwa inawapangaji wengi naogopa siku akikata mnyororo atakula watoto wawatu.
Anachoniudhi Sasa ananibwekea hata Mimi hii inanipandisha hasira mbaya zaidi nasikia mbwa Hali sumu hivyo napanga kumchapa chuma.
Naomba ushauri.
Superbug.
Msiue hawa viumbe! Kwanini msiwabebe tu kwenye ndinga na kwenda kuwatupa maeneo ya mbali sana....?Ukishamchapa utaniazima na mm hiko chuma...nina mijimbwa yangu flani nimalizane nayo
.....Sabu sidhani kama wana tabia za paka za kurudi nyumbani baada ya kumtupa mbali., Waacheni waendelee na maisha yao.
Sent using Jamii Forums mobile app