Mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu; nataka kumpiga risasi

Huyo mbwa ana jambo lake tarehe 28.10. Mwache tu akasitike!
 
mbwa wako kama ni Dume atakuwa na hamu ya sex mpeleke akajichanganye na majike .
2.muite Daktari ampe chanjo na pia angalia aina ya chakula anachokula kama ni wali &samaki badilisha menu yani hapa mtafutie hata bichwa la mbuzi au makongoro ya ng'ombe ajisikie unyama ndani yake.

3.kuhusu kuwa mkali kwako inaonekana upo busy Sana umemsahau huna habari naye jaribu Asubuhi na jioni kutoka naye mfanyie massage full body mshike shike kichwa mnyanyue miguu ya mbele kimbia kimbia naye kama mbwa mwenzie.

4*kuna Dada mmoja aliamka Asubuhi akakuta mbwa wake wawili . Yale makubwa mbegu ya kizungu .wamekufa bandani wametoa ulimi nje aisee alilia utadhani kuna msiba yani alijaza majirani mpaka watu wakaanza kumpa pole kama kafa mtu.
yani ukishindwa Sana kuishi naye mchukue kamwache porini

ushauri wangu ni huo .

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Nakushauri umwite Dr....................... wa mifugo na kumchoma sindano ile afe ni kitu kama elf 40
 
Naomba ushauri mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu anabwekea wapangaji nahisi nitapata kesi kwa ukali wake nyumba yangu haijawahi kuibiwa ila Sasa ukali wake ni too much.

Nimempiga zile sindano tatu wapi bado hakomi (ant rabis) nyumba yangu ni kubwa inawapangaji wengi naogopa siku akikata mnyororo atakula watoto wawatu.

Anachoniudhi Sasa ananibwekea hata Mimi hii inanipandisha hasira mbaya zaidi nasikia mbwa Hali sumu hivyo napanga kumchapa chuma.

Naomba ushauri.

Superbug.
Mpeleke polisi wakamfanyie training..
 
mbwa wako kama ni Dume atakuwa na hamu ya sex mpeleke akajichanganye na majike .
2.muite Daktari ampe chanjo na pia angalia aina ya chakula anachokula kama ni wali &samaki badilisha menu yani hapa mtafutie hata bichwa la mbuzi au makongoro ya ng'ombe ajisikie unyama ndani yake.

3.kuhusu kuwa mkali kwako inaonekana upo busy Sana umemsahau huna habari naye jaribu Asubuhi na jioni kutoka naye mfanyie massage full body mshike shike kichwa mnyanyue miguu ya mbele kimbia kimbia naye kama mbwa mwenzie.

4*kuna Dada mmoja aliamka Asubuhi akakuta mbwa wake wawili . Yale makubwa mbegu ya kizungu .wamekufa bandani wametoa ulimi nje aisee alilia utadhani kuna msiba yani alijaza majirani mpaka watu wakaanza kumpa pole kama kafa mtu.
yani ukishindwa Sana kuishi naye mchukue kamwache porini

ushauri wangu ni huo .

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app

Hatabmimi kwa jinsi navyopenda mbwa wangu nahisi naweza kutoa machonzi
 
Naomba ushauri mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu anabwekea wapangaji nahisi nitapata kesi kwa ukali wake nyumba yangu haijawahi kuibiwa ila Sasa ukali wake ni too much.

Nimempiga zile sindano tatu wapi bado hakomi (ant rabis) nyumba yangu ni kubwa inawapangaji wengi naogopa siku akikata mnyororo atakula watoto wawatu.

Anachoniudhi Sasa ananibwekea hata Mimi hii inanipandisha hasira mbaya zaidi nasikia mbwa Hali sumu hivyo napanga kumchapa chuma.

Naomba ushauri.

Superbug.
Inawezekana ni kichaa tayari, you may kill it, lakini tumia sumu ya maji ya betri changanya na chakula MPE ale
 
Screenshot_20201018_232759.jpg
 
Hiyo risasi utapiga wapi mkuu, ni bora kupeleka kwa daktari wa mifugo ndo yuko authorized kufanya euthanasia. Hata kama atatumia risasi kuna sehemu analenga kwenye paji la uso..
 
Naomba ushauri mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu anabwekea wapangaji nahisi nitapata kesi kwa ukali wake nyumba yangu haijawahi kuibiwa ila Sasa ukali wake ni too much.

Nimempiga zile sindano tatu wapi bado hakomi (ant rabis) nyumba yangu ni kubwa inawapangaji wengi naogopa siku akikata mnyororo atakula watoto wawatu.

Anachoniudhi Sasa ananibwekea hata Mimi hii inanipandisha hasira mbaya zaidi nasikia mbwa Hali sumu hivyo napanga kumchapa chuma.

Naomba ushauri.

Superbug.
Inawezekana ni kichaa tayari, you may kill it, lakini tumia sumu ya maji ya betri changanya na chakula MPE ale
 
Naomba ushauri mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu anabwekea wapangaji nahisi nitapata kesi kwa ukali wake nyumba yangu haijawahi kuibiwa ila Sasa ukali wake ni too much.

Nimempiga zile sindano tatu wapi bado hakomi (ant rabis) nyumba yangu ni kubwa inawapangaji wengi naogopa siku akikata mnyororo atakula watoto wawatu.

Anachoniudhi Sasa ananibwekea hata Mimi hii inanipandisha hasira mbaya zaidi nasikia mbwa Hali sumu hivyo napanga kumchapa chuma.

Naomba ushauri.

Superbug.
Inawezekana ni kichaa tayari, you may kill it, lakini tumia sumu ya maji ya betri changanya na chakula MPE ale
 
Ni dume ila pia haliawahi kukutana na mwanamke tokalizaliwe.
Hapa ndio kisababishi. Hormones zimemzidia. Mtafutie jike apunguze hizo ny*ge. Inawezekana anasikia sauti au harufu ya jike karibu.
 
Hivi Bongo hatuna animal shelters?!

Btw, uliwasiliana na Vet kabla hujafikiria kutenda huo ukatili?!
 
Usimuue mpeleke kwa doctor anaweza kuwa na stress . Hali ya uchumi imekuwa ngumu hata vyakula vya mbwa tunAwabadilishia ghafla jamani nao wana hisia kutoka Pedigree hadi pumba na madagaa unadhani atakosa msongo wa mawazo 😂😂😂😂😂

Mimi wangu nawafungulia kila siku wakajitafutie chakula wanarudi jioni kama kuku wa kienyeji 😂😂😂😂
 
Mbwa kukaa sehemu moja nayo ni tatizo ,kukaa 24 kwenye kamba au banda ni maisha magumu ungetembea naye misele kidogo ukiwa umemfunga ili apate experience ya maisha mengine pia
 
Back
Top Bottom