Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You made my day bro😁😁Hapa nlichogundua mbwa na mfugaji wote wana stress. Kilichobaki kila mmoja anamvizia mwenzie
Mpeleke polisi wakamfanyie training..Naomba ushauri mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu anabwekea wapangaji nahisi nitapata kesi kwa ukali wake nyumba yangu haijawahi kuibiwa ila Sasa ukali wake ni too much.
Nimempiga zile sindano tatu wapi bado hakomi (ant rabis) nyumba yangu ni kubwa inawapangaji wengi naogopa siku akikata mnyororo atakula watoto wawatu.
Anachoniudhi Sasa ananibwekea hata Mimi hii inanipandisha hasira mbaya zaidi nasikia mbwa Hali sumu hivyo napanga kumchapa chuma.
Naomba ushauri.
Superbug.
mbwa wako kama ni Dume atakuwa na hamu ya sex mpeleke akajichanganye na majike .
2.muite Daktari ampe chanjo na pia angalia aina ya chakula anachokula kama ni wali &samaki badilisha menu yani hapa mtafutie hata bichwa la mbuzi au makongoro ya ng'ombe ajisikie unyama ndani yake.
3.kuhusu kuwa mkali kwako inaonekana upo busy Sana umemsahau huna habari naye jaribu Asubuhi na jioni kutoka naye mfanyie massage full body mshike shike kichwa mnyanyue miguu ya mbele kimbia kimbia naye kama mbwa mwenzie.
4*kuna Dada mmoja aliamka Asubuhi akakuta mbwa wake wawili . Yale makubwa mbegu ya kizungu .wamekufa bandani wametoa ulimi nje aisee alilia utadhani kuna msiba yani alijaza majirani mpaka watu wakaanza kumpa pole kama kafa mtu.
yani ukishindwa Sana kuishi naye mchukue kamwache porini
ushauri wangu ni huo .
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Inawezekana ni kichaa tayari, you may kill it, lakini tumia sumu ya maji ya betri changanya na chakula MPE aleNaomba ushauri mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu anabwekea wapangaji nahisi nitapata kesi kwa ukali wake nyumba yangu haijawahi kuibiwa ila Sasa ukali wake ni too much.
Nimempiga zile sindano tatu wapi bado hakomi (ant rabis) nyumba yangu ni kubwa inawapangaji wengi naogopa siku akikata mnyororo atakula watoto wawatu.
Anachoniudhi Sasa ananibwekea hata Mimi hii inanipandisha hasira mbaya zaidi nasikia mbwa Hali sumu hivyo napanga kumchapa chuma.
Naomba ushauri.
Superbug.
Inawezekana ni kichaa tayari, you may kill it, lakini tumia sumu ya maji ya betri changanya na chakula MPE aleNaomba ushauri mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu anabwekea wapangaji nahisi nitapata kesi kwa ukali wake nyumba yangu haijawahi kuibiwa ila Sasa ukali wake ni too much.
Nimempiga zile sindano tatu wapi bado hakomi (ant rabis) nyumba yangu ni kubwa inawapangaji wengi naogopa siku akikata mnyororo atakula watoto wawatu.
Anachoniudhi Sasa ananibwekea hata Mimi hii inanipandisha hasira mbaya zaidi nasikia mbwa Hali sumu hivyo napanga kumchapa chuma.
Naomba ushauri.
Superbug.
Inawezekana ni kichaa tayari, you may kill it, lakini tumia sumu ya maji ya betri changanya na chakula MPE aleNaomba ushauri mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu anabwekea wapangaji nahisi nitapata kesi kwa ukali wake nyumba yangu haijawahi kuibiwa ila Sasa ukali wake ni too much.
Nimempiga zile sindano tatu wapi bado hakomi (ant rabis) nyumba yangu ni kubwa inawapangaji wengi naogopa siku akikata mnyororo atakula watoto wawatu.
Anachoniudhi Sasa ananibwekea hata Mimi hii inanipandisha hasira mbaya zaidi nasikia mbwa Hali sumu hivyo napanga kumchapa chuma.
Naomba ushauri.
Superbug.
Hapa ndio kisababishi. Hormones zimemzidia. Mtafutie jike apunguze hizo ny*ge. Inawezekana anasikia sauti au harufu ya jike karibu.Ni dume ila pia haliawahi kukutana na mwanamke tokalizaliwe.
Siyo kwa mbwaKwenye bible Kuna amri katika amri kumi inasema "usiue" kwa kukuongezea ufahamu "he who kills with a machete dies with a machete