Mbwa wangu anakuwa mkali bila sababu; nataka kumpiga risasi

Ukishamchapa utaniazima na mm hiko chuma...nina mijimbwa yangu flani nimalizane nayo
Msiue hawa viumbe! Kwanini msiwabebe tu kwenye ndinga na kwenda kuwatupa maeneo ya mbali sana....?
.....Sabu sidhani kama wana tabia za paka za kurudi nyumbani baada ya kumtupa mbali., Waacheni waendelee na maisha yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaaa nae uwe unambebeleza bana kwa kumchezea manyoya pia tafuta chanzo cha yeye kuwa mkali
 
Hivi kumuua ili apumzike na kumtupa akutane na mateso ya baridi,sungusungu na sometimes vibakaa bora nn
 
Kuna jamaa nae alilalamika kuwa mbwa wale anabweka hovyooo sio wewe kweli ???
 
Ukute unampiga piga hovyo na kumfokea wewe muonyeshe upendo wanyama wana upendo sana
 
Yupo peke yake?
Huwa unamfungulia usiku ili apate muda wa kuzunguka,kucheza na wenzake?
Usipochukua hatua,atakuletea kesi si muda mrefu.
 
Mbwa wako atakuwa ana akili kama za polepole, mtandike risasi za kutosha kabla madam dotto james ajaja kumchoma sindano ya sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha haha
Ki science mnyama kama mbwa anapashwa awe beta wewe uwe Alfa ki utawala wa nyumba ila ukiona ana kubwekea ni kama house girl akiweka miguu juu ya sofa alafu akwambie Father house kanletee maji ya kunywa mbele ya wageni , piga ajue yupo Alfa zaidi yake ama afanyiwe checkup yaweza kuwa ana psychological trauma!
 
Mtafutie mwenza uyo mbwa , stress za ugum zina msumbua
 
Huu uzi ni wa ovyo sijawahi kuona😂. Nimecheka sana hadi nimeshindwa kumaliza kusoma comments za wadau.
 
Kia mpole ndugu yangu, tafuta pesa

Siku hizi ukiishiwa na pesa hakuna atakayekutaka hata mbwa wako anaweza kukung'ata jombaa
 
Mkuu inaonekana mbwa wako anastree kaa naye kitako umuulize nini shida, na inanekana anakosa mda wa kupiga story na mmiliki... Mpe mda mbwa walau SAA mbili kwa siku upige naye story na pia kama hana mwanamke nayo shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho mbaya inakusumbua umuue ili iweje?
Hafu nyie wenye nyumba kukaa na wapangaji huwa mna gubu Sana.
Huyo mbwa Hana shida ana tatizo la kisaikolojia inatakiwa umtaftie mtaalamu na huku. Bongo sidhani Kama wapo
Wapo wengi tu,nikupe address.?
 
Mpeleke kwa wataalamu,wapo wengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…