Mbwana Samatta alivyoruka viunzi vya Wadada wa Bongo na Wazungu

Mbwana Samatta alivyoruka viunzi vya Wadada wa Bongo na Wazungu

Hebu tupiamo basi hako kapicha cha hako kagorofa japo nichukue ramani nikajenge kwetu Chitoholi mkuu hata kagorofa cha matope cha kama kina 20% kule mwanerumango
 
Kidoa huyu msimamizi wa Kaya mojawapo hapa Daslamu?
Sio Kidoti ,huyo anajiita Kidoa,mbongo movies.👇👇👇
Screenshot_20220316-110009_Instagram.jpg

Screenshot_20220316-105932_Instagram.jpg
 
Kwakuongezea tu mzee samatta aliwaza samatta junior. Kichwani kuhusu shule hamna kitu huyu mzungu anataka nn anataka kunipotezea wajukuu hivihivi atakua alikumbuka Mambo yaliyomkuta mchezaji wa asernal na ivory cost. Alimaarufu eboue
 
Baba mzazi unamshauri mtoto wako aowe binti ambae hapo nyuma alikuwa akitembea nae na kisha kuzaanae, dah hii dunia!!

Kosa la baba liko wapi hapo? Je, ingekuwa busara kushauri kijana atelekeze mwenye mtoto wake ili tu apate chombo mpya.!
 
Back
Top Bottom