Aisee...wee ni kama mie tuu. Yaani ningekuwa nazo kwa kweli naona kwanza ningekuwa muanzilishi wa porno industry hapa bongoNadhan Mungu ana sababu kuninyima pesa na umaarufu nisiwe muongo ningekuw mzee wa totoz sana
Nimejisemea upande wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee...wee ni kama mie tuu. Yaani ningekuwa nazo kwa kweli naona kwanza ningekuwa muanzilishi wa porno industry hapa bongoNadhan Mungu ana sababu kuninyima pesa na umaarufu nisiwe muongo ningekuw mzee wa totoz sana
Nimejisemea upande wangu
Na wapi pameandikwa usioe mwanamke uliyezini naye? Suala la msingi ni usiziniSawaa
Hebu niambie aya ipi imehalalisha uowe mwanamke uliezininae? Naomba dalili!
Ndio kitu gani hicho ?Ana utapiakuma
Ni kama utapiamloNdio kitu gani hicho ?
Ungefafanua vizuri ni nini kuliko kuzunguka......au una hofu ?Ni kama utapiamlo
JiongezeUngefafanua vizuri ni nini kuliko kuzunguka......au una hofu ?
Haya bhana..Jiongeze
duh,Mbona kwenye picha anaonekana dada duu mstarabu hiviNaima O. Mgange namkumbuka sana enzi hizo za Wailes, Chang'ombe nae ni nkonki au basi ngoja ninyamaze tu
Ni kweliHabari za wakati wakuu,
Panda gari popote ulipo za kwenda Mbagala rangi tatu ukifika nenda mpaka round about ya Chamazi kunja kushoto tembea kidogo utaona shule ya msingi mbele kidogo utaona msikiti upande wa kulia kunja kulia utaona nyumba kama kigorofa kidogo hivi hapo utakuwa umefika kwa kina SAMATTA, Mtanzania wa kwanza kucheza premier league na kuweka rekodi mbalimbali.
Sasa lengo la mada hii ni kuwakumbusha vijana tunapopata hela au umaarufu kidogo tusiwasahau wapenzi wetu na watu waliotuvumilia tukiwa hatuna kitu.
Kipindi Samatta anataka kuoa alipishana na mzee wake kwani baba yake ni mtu wa dini sana vile vile wanasema jungu kuu halikosi ukoko hivyo anawajua wanawake vizuri sana. Samatta alishatambulisha wanawake wengi kwa lengo la kuwaoa akiwemo yule mzungu kipindi yupo TP MAZEMBE ila mzee wake alikataa na kumwambia awe makini kwani hilo suala sio la kukurupuka.
Basi bwana baada ya kuona mzee kila binti analeta pingamizi ikabidi amshirikishe mzee unataka nioe mwanamke wa aina gani kumbe mzee ana hesabu zake kitambo kuna mwanamke Samatta alizaa nae. Baada ya tafakuri ya mda mrefu ikabidi akubali maana mwanamke alizaa naye toka Samatta anatoka katika safari ya mpira japo hawakuwa karibu baada ya Samatta kuwa mbali kwa ajili ya mpira.
Basi kijana ikabidi akubali wazo la baba yake na kuvuta jiko tena bila matangazo wala promo walialikwa watu wachache tena wale wakaribu wengine waliishia kuona picha tu Instagram ila tayari tukio lishafanyika watu walitegemea bonge la harusi na matangazo kibao ila kwa Samatta haikuwa hivyo.
Na katika vitu ambavyo Samatta amefanikiwa ni kuwakwepa hawa maslay queen wa bongo. Angewaendekeza angekuwa kama mwenzake Hasheem Thabiti na wengine wengi waliopotea kwa kuendekeza mapenzi. BIG UP TO HIM!
NB: Wanaume tunapopata pesa wapenzi wetu wa zamani tuliowapata kabla hatuna kitu ndio wa kuoa kama unataka uwe kama Eboue basi endekeza ma slay queen.
Sasa Bongo movie nako kuna wanawake wa kutamani kweli au matakataka? Yana tofauti gani na wale wa Sinza?Mimi nikiwa star aiseeh kuoa kutasubiri sana.. nitakula watoto hao wa insta na bongo movie kama nini
Hawana maajabu. Bora mpe ukapige puchu tuSasa Bongo movie nako kuna wanawake wa kutamani kweli au matakataka? Yana tofauti gani na wale wa Sinza?
Tafuta mume akupe msumari wa nyamaNapenda uroda Ila nawahofia sana wanawake.
Wewe una mume tayari?Tafuta mume akupe msumari wa nyama
Wewe ndo Una hamu ya kuolewaWewe una mume tayari?
Ha ha ha hata mazeeWewe ndo Una hamu ya kuolewa