Wako well off kiuchumi ila kichwani hawajielewiKwahiyo angempeleka Masaki au kijichi au madale ingezuia kifo chake.
Kwa ufahamu wangu ni kuwa Mbagala alipokuwa anakaa Baba yake kuanzia Nyumba Maisha n.k ilikuwa ni high standard .
Mbagala wapo watu wengi na ambao wapo well of na wanaishi vizuri tu .
Huwezi mshawishi. Vinginevyo wazee wengi wangekuwa Dar kwa sasa na vijijini hawako ila hao wazee waligoma maisha ya town.Unaliacha tu kama makumbushi unamuhamusha tu kwa kumshawishi
aah!!! We jamaa.Wako well off kiuchumi ila kichwani hawajielewi
Kuzungukwa na masikini ni kero sana
Hata angeishi masaki angekufa ila hapa tunajaribu kumoa mtu hadhi yake
Wazee wanahitaji maeneo tulivu wajifika umri wa utu uzima
Mbagala sio sehemu sahihi
Acha dharauMbagala unapajua wewe au unapasikia,kaa hukohuko kizuramimba kwenu,mbagala ni ushenzini
Kwa hiyo oysterbay hakuna watu?hana ndugu? Hana wajukuu?Ss ww untka akahamie oysterbay awatenge wazee wenzake? Aongee na Tv? Acheke na azungumze na nani?
Ivi unajua kua Wazee wengi wanakosa watu wa kuongea nao bcz kila mtu na harakati zake za Maisha
Acha kuishi maisha ya watu ishi maisha yako
Achana na yasiyo kuhusu
Vijiji vingi ni vizuri kuliko Mbagala Kwa maana ya kuishi.Huwezi mshawishi. Vinginevyo wazee wengi wangekuwa Dar kwa sasa na vijijini hawako ila hao wazee waligoma maisha ya town.
Kiuhalisia wazee wengi hawapendi maisha unayosema ya utulivu maana yanawaongezea msongo wa mawazo na kuwapunguzia siku za kuishi.
Achana na maisha ya watu usikute ww unaishi vikindu haswaaKwa hiyo oysterbay hakuna watu?hana ndugu? Hana wajukuu?
Mtu mwenye akili hawezi kuishi mbagala
Mzee Samatta alifanya cha maana kubaki alikozoeaWewe unafikiri mpaka unaandika yeye binafsi hajawahi waza hilo? Kuna wazee wanagoma kuhama eneo ambalo limekuwa sehemu ya maisha yao.