Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

Mbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi

Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala

Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana

Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini

Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
Utamlaum bure Samatta, wazee wetu wengi wako hivyo. Mimi nilipojipata nilitamani niishi na Baba Dar, lakini aligomea Kijijini ,
 
Msuva Safi kabisa..kawajengea wazi wake Makamba mawili nyumba Safi Na Fenci yake..hakuna uswahili

Diamond alikula Tandale, but kawajengea nyumba nzuri wazi wake madale Na Sio Tandale

Ukiwa Na Hela lazima ubadirike...kijichi Kuna maeneo mazuri yenye utulivu alitakiwa anunue nyumba nzuri ambapo Mzee anakaa Kwa utulivu


Na kijichi Sio mbali Na mbagala kama mzazi anataka kwenda kuona uswekeni kwake anarudi tu...anakaa Na wadau wake Kisha jioni anarudi kijichi mjengoni

Tubadirike..ukiwa Na Hela jipende, Kwa Sasa hata Yamin Yamali..kawajengea nisema kununua mjumba Wa kifahari wazazi wake Kwa Sasa wanaishi mitaa YA Joshua Na Sio uswazi kama hapo Zamani

Unaposikia dream life...Ni pamoja Na kubadirisha muundo Wa familia..hakuna mzazi ambaye haupendi Kula Maisha YA mwanae akiwa kivulini
Kwani lazina kuishi kama maisha fulani🤣🤣 Mbwana kamjengea mzee wake ila msiba umefanyika kwenye nyumba anayomiliki mzee wake ..Hapo ni kwa kina Mbwana alipokulia yeye ,nyumba ya mzee ni private na ishu zote zinafanyika hapo .

Maisha ya kuishi ndani ya fensi kama Mbwa hata mimi yemenishinda kabisa.
 
Mchezaji wenu ni Mshenzi

MCHEZAJI WENU NI MSHENZI ,MSHENZI, MSHENZI TENA.

HUWEZI UKAMUACHA MZAZI WAKO AISHI KIBANDA KAMA KILE.
USWAHILINI.
HAAKUNA PAKING.
HAKUNA SEHEMU YA HEMA.
MAKELELE.
AIBU TUPU.

MKIFANIKIWA WAJENGEENI WAZAZI WENU MAENEO MAZURI.
 
Utamlaum bure Samatta, wazee wetu wengi wako hivyo. Mimi nilipojipata nilitamani niishi na Baba Dar, lakini aligomea Kijijini ,
Mimi mzee wangu nilimkarabtia nyumba yake enzi hizo ,alikuwa anakataa kabisa .Tv hataki mibadilisha amebaki na chogo lake la HT mpaka leo zaidi kaongeza king'amuzi ch azam ...Hataki kabisa nimalize pesa zangu ,nimejenga yangu na yeye ndiye kasimamia mwanzo mwisho ..Kwake hawezi kuondoka itampa tabu sana kuongea na watu na yeye yuko 70 huko
 
Mbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi

Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala

Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana

Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini

Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
Acha kupangia watu maisha Mkuu, halafu hiyo stori ya Bakhresa kuhamishwa Kariakoo kwa nguvu ni ya uongo.
 
Back
Top Bottom