Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

Mbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi

Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala

Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana

Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini

Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
Yule mzee alikuwa mjinga sana...nilishawahi kukutana nae anauswahili wa kishenzi sana alichotaka kitokee ni kumdhalilisha mtoto wake. Kamlazimisha mtoto wake kujenga msikiti baada ya kuishi maisha mazuri. Haya aende peponi sasa, Waafrika tu wajinga sana linapokuja suala la imani za watu weupe. Huyu mzee kajitakia mwenyewe.
 
Elewa mada,ishi kulinganana hadhi yako,sasa watu wamekuja msibani hakuna hata pa kufunga hema
Mama mmoja alifariki na ana mashamba ya kutosha eneo alilopo ila akazikwa makaburi ya uma, changanyikeni. Yale makaburi unaweza kutana na mifupa, fuvu unaisogeza ili space ipatikane.

Kama kawaida wasema sana misibani na maswali ya kwanini asizikwe kwenye eneo lake?

Mtoto wa marehemu akatoa maelezo kwa wasema sana misibani kuwa mama alisema akifa apelekwe akapige story na marehemu wenzake sio atengwe.

Inawezekana mzee ana machaguo mengi tu ya nyumba ila kaamua awe hapo. Ila ndo kama hivi wasema sana misibani wamepata la kusema.
 
Mimi huko osterbay ,mbezi beach hata kule Mbweni siwezi kuishi iko wazi ,nitakuwa mpweke sana ...Nyumba yangu ina geti ila najiona kama Mbwa ...Nimehama uswqzi muda ila naishi kange ushuani ,liufupi nimekuwa mnyonge sana bora ya uswqzi.
Kange hivi kuna ushuani mkuu?
 
Mbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi

Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala

Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana

Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini

Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
Wazee wengine hawapendi kuhama, ila wanawe wakijipata na wakagoma kuhama basi wao hujaribu kununua sehemu kadhaa za majirani ili kupata angalau kasehemu kadogo ka kuweka parking na kauwazi ka shughuli mbili tatu

Wengi wamefanya hivyo ili kuongeza kidogo eneo ila sio wote waliofanya hivyo wengine wanaona ni vyema uende mbali kuepuka msongamano wa mjini
 
Hakuna kitu kibaya kama kumhamisha mzazi kwenye mazingira yake ya asili. Kuanza mazingira mapya ni challenge amba ina athiri kinga ya mwili. Kwenye umri wa uzee ni mbaya zaidi kwani marafiki ni wachache. Sasa akienda makazi mapya ndo changamoto zaidi. Kwenye mazingira ya asili mtu anakuwa ameshashikamana na nature.

Ndio maana unaweza kuta kuna watu wako hapa mjini na wana maisha mazuri lakini wazazi wao wanaishi vijijini. Unachotakiwa kufanya ni kuboresha mazingira yanayomzunguka
 
Ila unabidi kujua Mzee Samatta (Baba)

Alikuwa mchezaji Mkubwa Tanzania amekaa UK , America n.k

Sifikirii Kama yeye mwenyewe angeamua kuhama hapo Mbagala angeshindwa.

Na pia Familia ya Samatta sio familia ya kimasikini ina watu wanaojielewa na baadhi wamesoma wapo wanajeshi , walimu n.k

Kwahiyo usiongee Sana Mambo ambayo hauyafahamu. Hasa mambo ya kifamilia.
Mbona Mbwana alisema mzee wake alikua polisi
 
Mbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi

Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala

Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana

Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini

Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
Duuuuh una hoja inayoumiza moyo lakini.. Acha tuvumilie
 
Msiba na kwenda kuzika ni Ibada nenda Ibadani acha kuwekea watu masharti, hapafikiki kwa gar nenda kwa mguu acha maneno mengi huwezi usiende.
 
Kuwahamisha wazee sometimes kuna changamoto sana, kama nyumba aliijenga kwa nguvu zake kumuhamisha hilo eneo ngumu sana.
Nakumbuka tulimjengea bibi yetu nyumba nzuri kubwa, tuliweka maji, umeme na nyumba ipo karibu na huduma za kijamii vizuri. Nia ilikuwa kumsurprise😂😂😂 na yeye akatusurprise.
Simply alisema hii ni nyumba yangu nilijenga na mume wangu na hapa kuna kaburi la mume wangu siwezi ondoka nikamuacha mume wangu.
Wakususa walisusa, wa kuongea waliongea ila mwisho wa siku ilibidi tu tukaboreshe nyumba yake ya mwanzo tu
Bibi angu huyu kabisaa,
Tena aliwachamba wanae, akiwemo na baba

"nyie mmezaliwa wapi? Mmekulia wapi? Leo ndo mnaona hapa hapafai? Kwani niliwaomba mnijengee kwingine? Mbona alipokua baba yenu hakumfanya hivi? Nitoke hapa yeye atanionaje huko aliko? Mniache hapa hapa nitaishi nilipojenga kwa nguvu zangu na baba yenu."

Walichoka kabisaa, nyumba imegeuka ya familia sasa ile mpya.
😂😂😂😂😂
 
Hawa mastaa wanaoibuka kutoka umasikini na ufukara wanapoinuka hebu wawe wanabadilisha maeneo ya kuishi au kujenga nyumbani kwao vema. Unakuta star anafiwa huko kwao kijijini mnamsindikiza mnakuta kwao panasikitisha, ni pa hovyo na panatia aibu, hajawajengea wazazi wake ila dar amejenga hekalu la kufuru lina starehe zote
 
Back
Top Bottom