Unakufa kwa depressionHata mimi kinitenga na wazee wenzangu ambao nimekuwa nao miaka yote nienda makazi mapya ambayo watu hawasalimiani huku nina uzee na maradhi yangu. Sitakubali.
Hawezi kaa Dar kama sofa. Anataka sehemu aliyoizoea na watu aliowazoea. Mpe kila anachohitaji afurahie matunda ya mwanae akiwa na wazee wenzie.Utamlaum bure Samatta, wazee wetu wengi wako hivyo. Mimi nilipojipata nilitamani niishi na Baba Dar, lakini aligomea Kijijini ,
Unaweza ukwa na nyumba nzuri kwenye utulivu lakini usiwe na furahaUpo sahihi alichotakiwa Samatta ni kumjengea nyumba mshua wake maeneo yenye utulivu sio tu nyumba nzuri huko mbagala
Ukiwa masikini lazima uandike mambo ya hovyo tu.Mbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana
Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini
Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
We utakuwa mhaya si bureeWako well off kiuchumi ila kichwani hawajielewi
Kuzungukwa na masikini ni kero sana
Hata angeishi masaki angekufa ila hapa tunajaribu kumoa mtu hadhi yake
Wazee wanahitaji maeneo tulivu wajifika umri wa utu uzima
Mbagala sio sehemu sahihi
Hili ndio jibu sahihi la kufunga mjadala.✌️Wewe unafikiri mpaka unaandika yeye binafsi hajawahi waza hilo? Kuna wazee wanagoma kuhama eneo ambalo limekuwa sehemu ya maisha yao.
Good thinking 🤔Kama Mbwana kaenda na baba yake Ulaya mara kadhaa mnafikiri wazo la kumjengea halikuwepo?
Kuna wazazi wanaondoka kwa watoto wao kisa choo cha kufrash hakuna cha kulenga na kutumia majani na magunzi. Upweke ni kitu kibaya ambacho wazazi wanapambana nacho baada ya watoto wote kuondoka nyumbani. Halafu umtoe katikati ya watu umpeleke akashinde na ndege tu. Hakubali. Anaona atakufa kesho. Jambo la msingi akigoma boresha maisha hapo alipo ila so kumpeleka sehemu tulivu
Saa zingine shule nayo ni muhimu. Ukute wanaamini kwenye uswahiliMbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana
Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini
Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
Kweli mkuu kuna wazee ni kuwa hawataku kuhama yaani hii nimeilewa maana hata katika jamii tunazoishi wazee wengi hawataki kuhamaWewe unafikiri mpaka unaandika yeye binafsi hajawahi waza hilo? Kuna wazee wanagoma kuhama eneo ambalo limekuwa sehemu ya maisha yao.
Umemaliza mkuuHuwezi mshawishi. Vinginevyo wazee wengi wangekuwa Dar kwa sasa na vijijini hawako ila hao wazee waligoma maisha ya town.
Kiuhalisia wazee wengi hawapendi maisha unayosema ya utulivu maana yanawaongezea msongo wa mawazo na kuwapunguzia siku za kuishi.
Hayana furaha , Nimehama huku kwa kishua mwaka wa pili sasa sina furaha ..Hakuna hata vibanda umiza vya kuangalia mpira...Nitahama kuishi kwenye mageti kama mbwa hapana ...Bora hata Makorora kuna vibes.Sema nn kuishi mazingira maziri ni unyama sana.
Nyumba ya mbagala jamaa alirekebisha kidogo na pia za chini ya kapeti mzee Samatta hakupenda maisha yale ya kujikweza ndo maana hata ulaya alienda mara moja tu nadhani enzi za uhai wake. Kuufupi mzee Samatta hakua anapenda maisha ya standard.Kwahiyo angempeleka Masaki au kijichi au madale ingezuia kifo chake.
Kwa ufahamu wangu ni kuwa Mbagala alipokuwa anakaa Baba yake kuanzia Nyumba Maisha n.k ilikuwa ni high standard .
Mbagala wapo watu wengi na ambao wapo well of na wanaishi vizuri tu .
Alifanya pia kazi ikulu,Canada nadhani ilikuwa UniversityBritish Columbia alipigwa msasa huko,wahenga wa Moscow wana hadithi tamu sanaIla unabidi kujua Mzee Samatta (Baba)
Alikuwa mchezaji Mkubwa Tanzania amekaa UK , America n.k
Sifikirii Kama yeye mwenyewe angeamua kuhama hapo Mbagala angeshindwa.
Na pia Familia ya Samatta sio familia ya kimasikini ina watu wanaojielewa na baadhi wamesoma wapo wanajeshi , walimu n.k
Kwahiyo usiongee Sana Mambo ambayo hauyafahamu. Hasa mambo ya kifamilia.