Wabongo wengi wanapenda sana maisha ya kukariri.Ukisikiliza interview ya baba yake itafute YouTube,huko ushuani Wana maghorofa,baba yake ndie alikataaa kuhama mbagala Panapo mpa amani kwenda ushuani kwenye upweke hakuna hata vijiwe vya kahawa.
Pana watu wanapata vibe sana kuishi uswahilini
FactMbagala Zakheem sijui Rangi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam.
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale, Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu, najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi Mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako. Wachezaji wenzako wa Ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana.
Sio kwamba wa Masaki hawafi, ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu. Mbagala ni ‘ushenzini’
Watu wamekuja msibani hakuna parking, hakuna sehemu ya kufunga hema
Kama aligoma kuhama ungehamisha majirani ukaboresha makazi yake hapohapo
Wazee wengi wako hivyo.Labda walikataa wenyewe.
Mimi bibi yangu alikataa kuishi mjini pamoja na uzee wote. Anasema mashamba yake yanaharibika kijijini, wakati huo haoni hata mkono unamuwekea kwenye chakula ndo anakula.
Network gani,ushirikina tu,ishi sehemu kulingana na status au kipato chako,wazungu hawakuwa wajinga kyweka nasterplan za majiji kulingana na status yako,hata mbunge wa Temeke abaishi jimbo la Kawe,Mbagala ni pa ovyoWazee wengi wako hivyo.
Mfano mtu kakaa Mbagala miaka 50. Huko ndiyo ana mizizi, ana watu wake, ana networks zake.
Halafu uje kirahisi tu umtoe umpeleke Masaki?
Sasa unataka kuilazimisha familia ya watu sehemu ya kuishi?Network gani,ushirikina tu,ishi sehemu kulingana na status au kipato chako,wazungu hawakuwa wajinga kyweka nasterplan za majiji kulingana na status yako,hata mbunge wa Temeke abaishi jimbo la Kawe,Mbagala ni pa ovyo
This logical fallacy is called the problem of induction.Bakhresa alilazimishwa,JK alilazimishwa kutoka mikocheni kwenda Masaki,cha ajabu kipi
Nyumbani ni nyumbani hata kama ikiwa mapangoni.Mbagala Zakheem sijui Rangi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam.
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale, Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu, najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi Mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako. Wachezaji wenzako wa Ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana.
Sio kwamba wa Masaki hawafi, ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu. Mbagala ni ‘ushenzini’
Watu wamekuja msibani hakuna parking, hakuna sehemu ya kufunga hema
Kama aligoma kuhama ungehamisha majirani ukaboresha makazi yake hapohapo
Ni ukanda huo huo, ukitoka hapo și ndiyo unaingia Mbagala?Wema alikuwa anaishi Mtoni Kijichi na sio Mbagala!
Kama kumuhamisha HAiwezekani mboreshee mazingira aliyopo,baba yake samatta amefia mazingira ya aibuMzee Mdukuzi kwanini wakati fulani kwenye maisha yako unaamua kuwa mjinga sana kiasi cha kuandika ujinga wa hali ya juu humu JF? Haujui kiafya hawa wazee wetu inatakiwa tuwaache waishi maisha yao waliyoyazoea hasa ya kujishughulisha na vishughuli vya hapa na pale ili kuupa mwili mazoezi? Kumtoa kwenye mazingira yake na kumpeleka Masaki ni kama kumpunguzia siku za kuishi. Kitu cha muhimu ni kuhakikisha wazee wanapata mahitaji yao yote ya muhimu. Tena sometimes baba unamvuta kando na kumpa vijisenti vya matumizi yake binafsi. Pia MDUKUZI ACHA KUFUATILIA MAMBO YA FAMILIA ZA WATU.
Mzee Mdukuzi unajua kuwa hata wale vipanga kwenye shule za kata zenye mazingira duni na waalimu wanoko ukimhamishia shule nzuri zenye uhuru kama Mzizima anaweza ndo akafeli ukashangaa? Kwa hiyo hata kwa wazee wetu ukiwaondolea zile hekaheka zao kwa 100% unaweza wasababishia matatizo makubwa. Mama yake Filbert Bayi aligoma kuhamia Dar na kuamua kubaki kijijini akifurahia maisha yake. Yule bibi kila siku alikuwa ni mtu wa kutembelea umbali mrefu hadi kulima kaacha akiwa mzee sana hana nguvu. Alifariki akiwa na umri mkubwa kwenye 90+. Hizi kampeni za trainers wanaosema tutembee hatua 10k kwa siku wazee wetu wametembea hata 20k kila siku kwa miaka mingi ndo maana wengi wako fit.Kama kumuhamisha HAiwezekani mboreshee mazingira aliyopo,baba yake samatta amefia mazingira ya aibu
Ni sawa kuna tofauti kutoka kijijini kuja Dar ,na kutoka mbagala kwenda kijichi,any way tufanye mzee anegoma kuhama,boresha mandhari yakeMzee Mdukuzi unajua kuwa hata wale vipanga kwenye shule za kata zenye mazingira duni na waalimu wanoko ukimhamishia shule nzuri zenye uhuru kama Mzizima anaweza ndo akafeli ukashangaa? Kwa hiyo hata kwa wazee wetu ukiwaondolea zile hekaheka zao kwa 100% unaweza wasababishia matatizo makubwa. Mama yake Filbert Bayi aligoma kuhamia Dar na kuamua kubaki kijijini akifurahia maisha yake. Yule bibi kila siku alikuwa ni mtu wa kutembelea umbali mrefu hadi kulima kaacha akiwa mzee sana hana nguvu. Alifariki akiwa na umri mkubwa kwenye 90+. Hizi kampeni za trainers wanaosema tutembee hatua 10k kwa siku wazee wetu wametembea hata 20k kila siku kwa miaka mingi ndo maana wengi wako fit.
Umejibu kiutu uzima sanaMbwana ana nyumba na apartments sidhani kama swala la kumhamisha mzazi wake ilikuwa shida. Ila mzee akigoma huwezi mlazimisha.
Kuna life wazee wanalichukia kuliishi wanatamani wapate mitaa ambayo wazee wenzao wapo na wanapata fursa za kupiga soga, kucheza bao na draft na siku zikasonga vizuri.
Mzee Kukaa O-Bay ni sawa na kukaa nyumba za wazee Marekani. Changanyikeni kunampa vibe nzuri na kumuondoa msongo wa mawazo ya uzee.