Sir mtafutaji
Member
- Feb 27, 2025
- 8
- 9
hivi wewe una akili kweli eti huwezi kukaa mbagala acha akili za kushikiwa mbagala kuna matajiri wengi kuliko wewe na watu wenye hadhi kuliko wewe. huenda wewe umepanga na unabwabwaja
waambie mkuuBinafsi mbagala ipo kiganjani Kuna sehemu nzurii Sana hapo mbagala rangi 3, kiburugwa, mpaka chamaziii, mpaka mbande / kisewee.
Umetutukana Sana Wana mbagala umetufedhehesha Sana Sanaa mbagala Kuna maji safi na salama ya kunywa from wells kuzidii huko paki shua unapo pasema e.t.c mbagala Kuna good natural air kuzidi sehemu nyingi nyingi.
Cc. MBAGALA ALL STAR'S ⭐ ⭐
NAKALA KWA mh.mbunge CHAUREMBO na kaka said fella.
Nani anajengaga Masaki au Oysterbay au naongea na mporipori aliyeingia mjini juzi umekuta masaki ni maghorofa na ofisi.Wastaafu walioishi masaki wengine ndiyo hao waswahilisawhili wa Mbagala na Chanika,Wale wenye uzunguzungu wapo mbweni,makongo juu na kwingineko.Unakuta mwingine hata huko masaki hakukupenda na aliishi kwa lazima kama mtumishi.Mkuu unasema Obey ya wapi ni ile ya Makamo wa Raisi na Waziri mkuu au ile ya kituo cha Polisi nyumba za polisi?, Mimi na sema wajenge Masaki na obey na siyo kuisho nyumba za Serikali.
wakihama Mbagala watamtambia nani?Mbagala Zakheem sijui Rangi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam.
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale, Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu, najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi Mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako. Wachezaji wenzako wa Ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana.
Sio kwamba wa Masaki hawafi, ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu. Mbagala ni ‘ushenzini’
Watu wamekuja msibani hakuna parking, hakuna sehemu ya kufunga hema
Kama aligoma kuhama ungehamisha majirani ukaboresha makazi yake hapohapo
Narudia mtu mwenye akili hawezi kuishi mbagalahivi wewe una akili kweli eti huwezi kukaa mbagala acha akili za kushikiwa mbagala kuna matajiri wengi kuliko wewe na watu wenye hadhi kuliko wewe. huenda wewe umepanga na unabwabwaja
Waliokimbia masaki kwasababu wamekodisha Nyumba wamezigeuza biashara kwa Balozi mbali mbali, kule Masaki na obey wanaishi kule ni Mabalozi na Mawaziri tena wa awamu ya 4 kurudi nyuma, kwasasa wamehama kwakuhusa au kudisha Nyumba zao. Maana Balozi wa Japani, Germany, Marekani, Canada, Saudi Arabia, Egypt, Norway awa wote hawawezi kununua Nyumba zao za kuishi uko sijui Makongo juu, madale, Mbweni mtu mweupe ana jua sehemu nzuri ya kuishi.Nani anajengaga Masaki au Oysterbay au naongea na mporipori aliyeingia mjini juzi umekuta masaki ni maghorofa na ofisi.Wastaafu walioishi masaki wengine ndiyo hao waswahilisawhili wa Mbagala na Chanika,Wale wenye uzunguzungu wapo mbweni,makongo juu na kwingineko.Unakuta mwingine hata huko masaki hakukupenda na aliishi kwa lazima kama mtumishi.
Mtu mweupe yuko smart sana kuhusumakazi,Waliokimbia masaki kwasababu wamekodisha Nyumba wamezigeuza biashara kwa Balozi mbali mbali, kule Masaki na obey wanaishi kule ni Mabalozi na Mawaziri tena wa awamu ya 4 kurudi nyuma, kwasasa wamehama kwakuhusa au kudisha Nyumba zao. Maana Balozi wa Japani, Germany, Marekani, Canada, Saudi Arabia, Egypt, Norway awa wote hawawezi kununua Nyumba zao za kuishi uko sijui Makongo juu, madale, Mbweni mtu mweupe ana jua sehemu nzuri ya kuishi.
Mabalozi wameingiaje hapa.Waliokimbia masaki kwasababu wamekodisha Nyumba wamezigeuza biashara kwa Balozi mbali mbali, kule Masaki na obey wanaishi kule ni Mabalozi na Mawaziri tena wa awamu ya 4 kurudi nyuma, kwasasa wamehama kwakuhusa au kudisha Nyumba zao. Maana Balozi wa Japani, Germany, Marekani, Canada, Saudi Arabia, Egypt, Norway awa wote hawawezi kununua Nyumba zao za kuishi uko sijui Makongo juu, madale, Mbweni mtu mweupe ana jua sehemu nzuri ya kuishi.
Si ndiyo wamewahamisha Viongozi kwetu uko Masaki na Osyerbay na kwenda uko Mbweni na madale na Makongo juu.Mabalozi wameingiaje hapa.
Yani familia ya Samatta inamuumiza mtoa mada mpaka nayeye anajivika uanafamilia kwa lazima.Daaah! Mambo ya kupangia maisha familia za watu🤦♂️
na hili mkaliangalieKuzungukwa na masikini ni kero sana
Nunua majirani bomoa nyumba hizo pata access ya barabara na eneo kubwa,boresha nyumba yakoHapa tuwalaumu watu wa mipango miji, kwa ujumla maeneo mengi Dar es salaam yamejengwa kiholela,
Chukulia mfano itokee ajali ya moto hicho kikosi cha uokozi na kufika eneo husika ni changamoto,
Kingine wazee wetu uwa wanapenda kuishi maisha ya kawaida haijalishi mabadiliko ya kipato kwenye familia,
Ngoja Mzee wetu apumzike kwa amani aliyapenda sana maisha ya ukaribu na majirani zake.
Ukute hata kiwanja huna.Mbagala Zakheem sijui Rangi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam.
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga kuhama Tandale, Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu, najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala
Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi Mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako. Wachezaji wenzako wa Ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana.
Sio kwamba wa Masaki hawafi, ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu. Mbagala ni ‘ushenzini’
Watu wamekuja msibani hakuna parking, hakuna sehemu ya kufunga hema
Kama aligoma kuhama ungehamisha majirani ukaboresha makazi yake hapohapo
Kama wajua hivyo basi masuala ya maisha ya watu achana nayo.Kiwanja changu kiko mbinguni
Huku duniani nina mashamba