Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

Hawa mastaa wanaoibuka kutoka umasikini na ufukara wanapoinuka hebu wawe wanabadilisha maeneo ya kuishi au kujenga nyumbani kwao vema. Unakuta star anafiwa huko kwao kijijini mnamsindikiza mnakuta kwao panasikitisha, ni pa hovyo na panatia aibu, hajawajengea wazazi wake ila dar amejenga hekalu la kufuru lina starehe zote
Tuwakumbuke wazazi wetu kwa kuboresha makazi yao na kuwapatia msosi
 
Una point usikilizwe. Low density area ndio sehemu ya kuishi binadamu. Huko kwingine ni sababu tu ya maisha.Mambo sijui ya marafiki ni uongo mkubwa.
 
Watu wanasema eti kukaa ndani ya Fensi ni upweke kumbe ni ugumu wa maisha ndio unawafanya hivyo hivi mtu uwe na uhakika wa Kila kitu upweke unatoka wapi kama stori si unatoka kwenye Fensi unaenda kupiga hizo stori
 
Anatoka kupiga stori wapi mkuu?

Kuna baadhi ya wazazi ukitaka kuboresha maisha boresha walipo usiwahamishe mazingira. Huzuiwi kuboresha hali zao. Pia baadhi ya vitu vyako akivikataa usishangae. Anaweza kataa hata aina ya vyakula unavyomnunulia na hutakuwa na la kumfanya
 
Huko uswahilini kuna makelele ya bar , mara makelele ya sherehe za hovyo hovyo, miundombinu mibovu,vibaka, yote hayo yasikupe stress eti uje upate stress kwa kuachana na watu uliozoeana nao huku unaishi ushuani. Hakuna hiyo.
 
Anatoka kupiga stori wapi mkuu?

Kuna baadhi ya wazazi ukitaka kuboresha maisha boresha walipo usiwahamishe mazingira. Huzuiwi kuboresha hali zao. Pia baadhi ya vitu vyako akivikataa usishangae. Anaweza kataa hata aina ya vyakula unavyomnunulia na hutakuwa na la kumfanya
Huo ni ujinga wa mtu mweusi kuthibitisha unyani wake
 
Kuna mzazi mmoja kijijini amesomesha watoto wote saba na wana kazi kubwa serikalini. Watoto walitaka kumjengea nyumba bora yenye hadhi mzazia akakataa kwa kuwaambia atafia kwenye nyumba ya udongo alikowazalia. Alipozeeka sana na kukosa maamuzi sahihi na ni mzee asiyeweza kufanya shughuli yeyote ni wa kulala tu ndio wakamjengea nyumba bora ya kisasa wasije wakaabika siku atakapofariki mzazi wao
 
Huyo ni mshirikina
 
Mbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi

Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala

Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana

Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini

Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
Binafsi mbagala ipo kiganjani Kuna sehemu nzurii Sana hapo mbagala rangi 3, kiburugwa, mpaka chamaziii, mpaka mbande / kisewee.

Umetutukana Sana Wana mbagala umetufedhehesha Sana Sanaa mbagala Kuna maji safi na salama ya kunywa from wells kuzidii huko paki shua unapo pasema e.t.c mbagala Kuna good natural air kuzidi sehemu nyingi nyingi.

Cc. MBAGALA ALL STAR'S ⭐ ⭐
NAKALA KWA mh.mbunge CHAUREMBO na kaka said fella.
 
Mbagala Zakheem sijui ranfi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi

Diamond sio mjinga kuhama Tandale,Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu,najua hata Sumaye alikuwa na nyumba Mbagala ila alipopata akili na madaraka alihama.
Hakuna Staa mwenye akili atakubali kuishi mbagala hapa nyumba hapa jalala

Mimi sio staa na sina hela ila siwezi kuishi mbagala.
Umemdhalilisha mzee wako
Wachezaji wenzako wa ulaya wakija kukupa pole watakuona wa ajabu sana

Sio kwamba wa masaki hswafi ila wastaafu hawapendi kelele wanapenda kuishi sehemu tulivu,mbagala ni ushenzini

Watu wamekuja msibani hakuna parking,hakuna sehemu ya kufunga hema
😔wanaoish mbagala hawana akili…..aaaah jishikilie bhna
 
Bibi angu huyu kabisaa,
Tena aliwachamba wanae, akiwemo na baba

"nyie mmezaliwa wapi? Mmekulia wapi? Leo ndo mnaona hapa hapafai? Kwani niliwaomba mnijengee kwingine? Mbona alipokua baba yenu hakumfanya hivi? Nitoke hapa yeye atanionaje huko aliko? Mniache hapa hapa nitaishi nilipojenga kwa nguvu zangu na baba yenu."

Walichoka kabisaa, nyumba imegeuka ya familia sasa ile mpya.
😂😂😂😂😂
Alifanyiwa operation ya macho akaona.
Amekaa mjini kwa miezi sita akasema anataka kufagia uwanja wake Nyumbani kwake.
Ikabidi mjukuu mmoja wetu ajitosea kwenda kukaa naye.
Aliporudi kwenye Mji wake,akatambaa naona..naona..raha kusomesha watoto.
Ila wanakaa maisha ya hovyo huko mjini,mageti na Tv wanawake wanacheza uchi..wanadekeza watoto hovyo.
Siku alifariki aliacha wosia,mimi nilipata Millioni mbili na Mkebe mdogo wa zawadi wenye vifaa vya Daktari wa Mifupo..nikaambiwa niwe Dokta wa mifugo.😀😀😀nimegoma sasa hivi kila nikikaa nawaza kufuga fuga tu
 
Huo ni ujinga wa mtu mweusi kuthibitisha unyani wake
Kwa habari zilizopo huyo mzee mwenyewe ana nyumba nyingine zaidi ya hiyo aliyokuwa anaishi ila ndio hakutaka kuhamia kwingine. Na wanasema mwanae alikuwa akimwambia kuhusu issue ya nyumba na maboresho anamwambia akajenge na kuboresha misikiti. Akiwa kama mtoto Mbwana angefanyaje zaidi ya kumpa kile mzazi anachotoka?
 
Hizo habari zilizopo we umezipata wapi
 
Kutakuwa na shida sehemu, au mzee aligoma kuhama, wanasema Mzee alikuwa ni mtu asietaka makuu, Ila kiukweli mazingira yale ukimchukulia na mafanikio ya mshikaji, dah inafikirisha.

Anyway, pumzika kwa amani Mzee wetu.
 
Hizo habari zilizopo we umezipata wapi
Dah! Kwa hiyo unataka wote tuwe na vyanzo sawa vya habari? Nachat na shemeji wa Mbwana Samata hapa na yuko hapo msibani ingawa kwa sasa wameenda kuzika kibiti kwa taarifa aliyonipa.
 
Kutakuwa na shida sehemu, au mzee aligoma kuhama, wanasema Mzee alikuwa ni mtu asietaka makuu, Ila kiukweli mazingira yale ukimchukulia na mafanikio ya mshikaji, dah inafikirisha.

Anyway, pumzika kwa amani Mzee wetu.
Mzee ndio aligoma
 
Back
Top Bottom