Huyo Baba wa Mbwana hana that old..
Huyo ni middle aged tu..
Halafu ana ka-shule fulani, aliwahi kuwa polisi.
Tena huyo atakuwa rika la kocha Julio-au Mgunda early 1960's.
Sasa Julio ana mzee upi wa kupoteza interest ya kuishi mazingira yaliyoboreshwa.
Na Wassira aitweje, au Msuya.
Samatta ni national icon...samatta ni celebrity...ndio Drogba wa kwetu.
Hawezi ku-host Msiba unaomgusa katika mazingira aina ile No No No...wakati nafasi inamruhusu.
Amevuruga kabisa portrait ya Wachezaji-mpira mbele ya Jamii...
Wachezaji wamechorwa as if Wahuni-wahuni, wanyonge, bangi, njaa kali,
Samatta alipaswa awe version mpya ya wachezaji wa zama za leo...sio wale wa zama za akina Chuji, au Boban