Mbwana Samatta ndio mchezaji bora wa soka wa muda wote Tanzania, GOAT

Mbwana Samatta ndio mchezaji bora wa soka wa muda wote Tanzania, GOAT

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
20230103_082307.jpg


Mchezaji pekee kutoka Tanzania kushinda CAF champions league.

Mchezaji pekee wa Tanzania kua top scorer kwenye CAF Champions League.

Mchezaji pekee Africa mashariki kushinda tuzo ya Mchezaji bora wa Africa (wachezaji wa ndani).

Mfungaji namba mbili bora katika ligi ya Belgium, moja ya ligi bora 8 duniani.

Mchezaji pekee tangu dunia kuumbwa kutoka Tanzania kucheza ligi kuu ya Uingereza ligi bora zaidi duniani.

Mchezaji pekee kutoka Tanzania kulipwa kiasi kikubwa cha fedha katika mpira wa miguu kuliko wote.

Mchezaji mwenye magoli mengi kwenye ligi ya EUROPA kuliko mchezaji yoyote E.A

Samatta ni mchezaji pekee kutoka East Africa kufunga hatrick kwenye Europa league.

Samatta ni mchezaji pekee kufunga kwenye uwanja wa taifa wa Wembley kwenye Fainali ya FA.

Amecheza ligi tatu kubwa duniani.
Belgium, Turkey na England.

Ameipeleka Taifa Stars AFCON akiwa team captain.
 
huyu kila dakika anasifiwa na vyombo vya habari!. basi angefika club kubwa huko.
watanzania bwana msije kumpoza faisali kwa haya haya
 
Back
Top Bottom