Feisal kumpoza kwani ataende wap?huyu kila dakika anasifiwa na vyombo vya habari!. basi angefika club kubwa huko.
watanzania bwana msije kumpoza faisali kwa haya haya
Kwangu alijiongeza kwenda nje mapema angedumaa kama angebaki bongo , kwa level ya kimpira hata Haruna Moshi Boban mzuri kuliko Samata.Nostalgic merchant. Kwangu mimi Samatta ni GOAT kibongobongo
Nisiyemuona Sunday Manara,ila Samata uzuri aliwahi kujitambua tofauti ya Lunyamila hata Haruna Moshi Biban,ila kimpira Samata kwangu bado hajafikia level za hao juu.Story za lunyamila au sunday manara ni ubishi wa kutokubali ukweli. Hawana kikubwa walichofanya kwenye soka kumzidi Samatta.
Sijajua wewe kimpira una angalia vitu gani, ila kwa uwezo binafsi Lunya ni bora ,sema Lunya alizingua mwenyewe nasikia Nonda Shabani alijaribu kuntafutia timu ulaya akakomaa na Yanga.Mwenzake Nonda kachezea Monaco na kacheza mpaka fainali ya UEFA baadae akaenda EPL.Kamzidi nini Samatta ukitoa umri ?...
Kumbe haufahamu kuwa lunyamila alienda kufanyiwa majaribio Germany akafeli akarudi? Yani hakuwa na talent ya kucheza ulaya.Nisiyemuona Sunday Manara,ila Samata uzuri aliwahi kujitambua tofauti ya Lunyamila hata Haruna Moshi Biban,ila kimpira Samata kwangu bado hajafikia level za hao juu.
Hivi wewe unafatilia mpira kweli? matokeo ya mwisho yaliishaje?Tena aliifunga Liverpool iliyokuwa wanaiita ukuta wa chuma haifungiki.
Hivi wewe unafatilia mpira kweli? matokeo ya mwisho yaliishaje?Tena aliifunga Liverpool iliyokuwa wanaiita ukuta wa chuma haifungiki.
Hakuwa mchezaji mbovu,naamini Villa hawakumpa muda,alikuja kipindi cha covid league ikasimama,yupo kwenye nchi ngeni na mazoezi anafanya peke yake.Yuko overated ,sitamsahau alinitia hasara kununua jezi originol ya aston villa kwa 250,000,akaishia kufunga goli moja mechi 14,
Kushindwa sio kama hujui, mbona wachezaji kibao washawahi kukataliwa na club kubwa ila leo hii wanatamba Mfano Martinelli,hata huyo Nonda Shabani husizani kama ilikuwa directly.Kumbe haufahamu kuwa lunyamila alienda kufanyiwa majaribio Germany akafeli akarudi? Yani hakuwa na talent ya kucheza ulaya.
Tatizo huwa mnajinasibu na takwimu, zikitolewa takwimu mnakunjua wivu wenu.Sijui tuwaweke fungu gani wazito wa kitanzani.Hujamuona Lunyamila.
Alikuwa ana mbio hadi anaacha mpira nyuma, alileta za anakwenda anakwenda kumbe mtangazaji sio sekioni kitojo.Kumbe haufahamu kuwa lunyamila alienda kufanyiwa majaribio Germany akafeli akarudi? Yani hakuwa na talent ya kucheza ulaya.
Kushindwa sio kama hujui, mbona wachezaji kibao washawahi kukataliwa na club kubwa ila leo hii wanatamba Mfano Martinelli,hata huyo Nonda Shabani husizani kama ilikuwa directly.
Mfano kwenye mziki Diamond ndiye msanii mkubwa na mwenye mafanikio sababu alijiongeza mapema, anajua soko la ndani na nje linataka nini ,anajua kuubrand mziki wake ,amewekeza ,anajituma nk.Ila haimanishi kwamba anajua kuimba kuliko wote walio tangulia. Ndio maana nikakwambia Samatta aliwahi kujiongeza na si kwamba anatalent kubwa kuliko waliopita ,sometimes kujitambua ndio kila kitu.Hebu mtizame Hajibu leo hii angekuwa anajitambua nahisi hata Chama angeanzia nje, tatizo wachezaji wabongo hawajiogezi na hawajitambui.
Haruna Moshi Boban,Kapombe nk hizi ni talent kubwa sana zilizopata chance ya kucheza nje ila zili shindwa kujiongeza na kujitambua.Hawa wachezaji wa Africa Magharibi unawaona leo na ukubwa wao wamefanyiwa trial nyingi sana na mpaka wametoboa kushindwa trial haimaanishi hujui.
Walimu wako walikua na shida Sana kuuelewesha ubongo wako so got Ni mbuzi au sioHuyu sio GOAT bali ni GOT la mbuzi.
Kapombe na Boban sio average player hata Zimbwe yule wa Simba sio average player tatizo hawa jiongezi na kuzitizama Fursa.Mkuu hao wachezaji wote uliowataja ni average players kama Lunyamila ndio maana hata South Africa hawakuonekana. Samatta alipewa nafasi akaonesha uwezo.
Genk walikuwa wana wimbo maalum kabisa wa Sama goal.
Unaweza niambia Lunyamila kafanya nini kwenye soka? Au unaweza justify vipi Lunyamila ni mwanasoka bora wamuda wote? Chenga nyingi au?