usimfananishe messi na ujingaAsa wewe ni sawa useme Ronaldo hajui kisa kutolewa na Ajax huko juventus alipohamia.
Ilhali team chemistry ni mbovu.
Mbona anawatia kamba wabelgiji km kiwango chake cha kawaida?!
Unajua mpk yeye kuchukua Ebony award usichukulie poa.
Kinachomkabili Samatta ni km kinachomkabili messi.
Team za taifa mbovu uchwara mnalaumu uwezo mzury wa wachezaji kana kwamba wanacheza peke yao.
Samata hajawahi kuwa mfungaji bora Wa ligi ya BelgiumUbelgiji na Tanzania tunalingana kimaendeleo?
Ndiye mfungaji Bora katika Ligi ya ubelgiji Kama Kagere( tz) Messi( Spain) Salah,Manne,aubameyang( England).
Ndiye mchezaji Bora mweusi ubelgiji.
Kasaidia Genk kuwa mabingwa.
Atacheza UCL Mwaka huu.
Wa kawaida kumlinganisha na Nani?
Wapi? Kwa kipindi kipi?
Mkuu dunia gan hyo inayomtambua ,infact Nina rafiki yangu wa afrika kusini ananmbia hawamjui Samata ni naniMawazo yako hatuwezi kuyaingilia,lakini dunia inamtambua kama SAMAGOAL,hata vilabu maarufu pale UK wanapigana vikumbo kutaka kumsajili kwakuwa wanatambua uwezo wake sio wa kawaida.....
..Samata hajawahi kuwa mfungaji bora Wa ligi ya Belgium
Mkuu una udhibitisho?Samatta si anagoal 20 msimu huu ulioisha na ndo topscorer??..au wewe unajua nani ndo topscorer??
Jamaa yupo sawa..Samatta ni top scorer msimu ulioisha
Ndo top score wa Belgium mwaka huu uchambuzi uchwara
Bora umemkumbusha!Asa wewe ni sawa useme Ronaldo hajui kisa kutolewa na Ajax huko juventus alipohamia.
Ilhali team chemistry ni mbovu.
Mbona anawatia kamba wabelgiji km kiwango chake cha kawaida?!
Unajua mpk yeye kuchukua Ebony award usichukulie poa.
Kinachomkabili Samatta ni km kinachomkabili messi.
Team za taifa mbovu uchwara mnalaumu uwezo mzury wa wachezaji kana kwamba wanacheza peke yao.
acha kutulisha matango pori ww hajawai kuwa top score ubelgig rudi maktaba punguza story za kiringeniUbelgiji na Tanzania tunalingana kimaendeleo?
Ndiye mfungaji Bora katika Ligi ya ubelgiji Kama Kagere( tz) Messi( Spain) Salah,Manne,aubameyang( England).
Ndiye mchezaji Bora mweusi ubelgiji.
Kasaidia Genk kuwa mabingwa.
Atacheza UCL Mwaka huu.
Wa kawaida kumlinganisha na Nani?
Wapi? Kwa kipindi kipi?
Mkuu yaaani kama vile ulkwa kwenye kichwa changu,huyo Mudathir na Mao sijawahi kuwaelewa kabisa kabisa.Hakuna wa kumkuza samatta, samatta kajikuza mwenyewe kwa uwezo wake binafsi. Tizama akiwa genk, tatizo huku na watu wenyewe anaocheza nao, eti midfielder mudathir anakokota mpira hatua 3 anajikwaa mwenyewe!! Sasa sijui ndio kitete ama hofu!! Binafsi sijawahi kumuelewa na sidhan kama yeye ndio kiungo bora zaidi ya viungo wote hapa tz kiasi cha kuanza yeye!! Mwingine ni huyu himid mao, midfielder za ajabu ajabu tu, wachezaji wa hovyo hovyo afanye nini, sijui beki mwantika!! Tabu tupu.
Mbona game na uganda alifanya vizuri tu
Tz tuna matatizo ila huyu bosi amunike ndio katuongezea shida, kamuacha mkude, haya huyu nyoni anamtupa benchi, kweli nyoni wa kukaa benchi akacheze mwantika!!
Ukweli samata ni moja kati ya wachezaji wachache bora waliowahi kupata kutokea tz.
Sijawahi mkubali huyo Mbwana Samatta na naona ana kiwango cha kawaida tu.